Japan yaipatia Tanzania mkopo wa Shilingi bilioni 761.8. Zanzibar yapata mgao wa Tsh bilioni 218

Kuna haja ya kuirudisha Tanganyika, wale wazee wahangaike Tu huko kwenye makaburi Yao, wafurukute Ila hili la Tanganyika halikwepeki!
 
Nini kimeizuia Comoro kuwa kama Dubai?
ZNZ ina nini cha kujivunia? Uchumi gani wa kuwa kama Dubai? Vumbi tupu....Karafuu tungetaka kuilima hapo mikoa ya kusini au hata Mafia tu, msingekuwa na chochote ninyi machoko. Kila kitu mnategemea bara wajinga ninyi, mnachojua ni kuvuta bangi na kuishia kwenye magenge ya uhuni. Hakuna mnachojua...shuleni ni za mwisho kwa matokeo yote yawe ya Form IV au Form VI.
 
Dah, kwenye kulipa twalipa sie watanganyika ndio maana kiongozi wa mpito haoni shida kuweka rehani nchi hii.
 
Hahaha sikumbuki kama mikopo ni swala muungano. Tungeanzia hapo.
 
Hivi kwa nini mnafeli sana mitihani? Tokea nazaliwa hadi Leo zenj shule zenu ndio huwa zonaburuza Mkia
Tunafeli mitihani ila tumefaulu kupata mgao mkubwa kwa mikopo munayokopa ninyi......muungano ukivunjika ndio mutajua division one zenu zimewasaidiaje
 
Tunafeli mitihani ila tumefaulu kupata mgao mkubwa kwa mikopo munayokopa ninyi......muungano ukivunjika ndio mutajua division one zenu zimewasaidiaje
Muendelee kuipata ili umaskini upungue kidogo, nilienda zenj ule umaskinj ulinitisha sana
 

Huu upuuzi inabidi ukomeshwe. Huu muungano uangaliwe upya.

Wazinbari karibu nusu wanaishi bara, wanafaidika na kila haki za Mtanganyika, lakini kwa wanapewa haki zaidi ya Mtanganyika yoyote, kwenye ajira, vyuo, teuzi,mgawanyo wa mikopo isiyo na mantiki yoyote.

Utumwa umerudi, Tanganyika na Watanganyika wanatumiwa kuinufaisha visiwa viwili vya Pemba na Unguja kama babu na bibi zao walivyotumika kuvijenga hivi visiwa viwili.
 
Kazi indelee
 
Yote hii ni kazi ya makamu wa rais maana ndo alikabidhiwa kutatua kero za muungano
 
Na kwa sasa TBC habari inaanza wanamuweka Hussen Mwinyi kila siku.
Ni Rais ajaye au?
Tumepigwa tikitaka la nguvu.
Huyo maza ni mipasho tu hamna lolote analojua.
 
Hapo ndio shida,aliyetia saini Tanganyika,harafu zenj anapewa mgao!Japan ataidai Tanganyika,Tsngsnyiksa itaidsi Zenj!
Wazenj wametaka mchakato wa mafuta na gesi lisiwe Swala la muungano,ikapita,inabidi na hii mikopo wawe wanakopa direct,!,Tsngsnyika isitumike kama mzamini,kale ka nchi akawezi lipa,
Watu wasiozidi milioni 10 wamepewa asilimia zaidi ya 25ya pesa,harafu watu milioni 55wanabski na asilimia 60!pesa inabidi iwe kwa uwiano wa watu,Zenj ilibidi ipate asilimia 10 tu bilioni 70,sio 200
 
Mwigulu ni wa kupitishia fungu tu maana sasa mikopo ni nusu kwa nusu juu ya kichwa cha Tanganyika
 
Watu wasiozidi milioni 10 wamepewa asilimia zaidi ya 25ya pesa,harafu watu milioni 55wanabski na asilimia 60!pesa inabidi iwe kwa uwiano wa watu,Zenj ilibidi ipate asilimia 10 tu bilioni 70,sio 200
Kwa Sensa ya 2012 Znz ilikuwa na watu 1,3m..
Huko 10m umeenda mbali mno.
Kinachojiri kwa sasa ni unyang'anyi, maana Tanganyika imegeuka shamba la Bibi
 
Napanda boti Kesho asubuhi naelekea kiembe samaki.
Utanikuta Makunduchi, kama nitakubaliwa kuwa mkimbizi toka nchi jirani ijulikanayo kwa jina la Tanganyika.

Neema kama hizi, uwape nini tena waZanzibari.

Tukienda kwa spidi hii, kufikia hapo 2025 Zanzibar itakuwa inameremeta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…