Japan yaipatia Tanzania mkopo wa Shilingi bilioni 761.8. Zanzibar yapata mgao wa Tsh bilioni 218

Kamkoa ka dar es salaam na Zanzibar ipi kubwa Kwa sqm?
 
Kwa maana hiyo kila mkoa Zanzibar utapata B43.6 wakati Tanzania bara kila mkoa utapata B 20.92 kwanini? wametumia fomula gani kuchakata mgawanyo huu? Zanzibar huwa inachangia kiasi gani kwenye serikali ya muungano kila mwaka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…