Japan yatangaza kikosi kikali kombe la dunia

inasikitisha sana mshambuliaji hatari waROASSO KUMAMOTO aitwaye TAKUMA ASSANO hajatajwa hapo.😀😀😀😀😀😀😀........
 
Daaah.....Mnataka watu tuonekane machizi,Siyo kwa comment hzo.
 
Huyo namba saba ni shida, nakumbuka wakati ule wa yale mashindano alikuwa balaa.
 
Kuna taarifa uongozi chama cha soko cha japan wamemwazima fitness coach aitwae Harozito kamatako kwa ajili ya timu ya taifa.
yeah huyu bwn ana uhusiano mzuri sana na wakazi wa kumamoto ambako kambi ya timu itakuwako so wachezaji wategemee mapokezi mazuri
 
Mkuu Chama langu La FC KUMAMOTO TAKUNDU iimetoa wachezaji wangapi
 
Khee kheeeee kheeeeeeeeeeeee!
Aiseee mmenichekesha sana jinsi mnavyoflow na uzi mpaka unaonekana kama una make sense kumbe umejaa utumbo mtupu!!
 
Ujacheki vizuri huyu straika 敩瑮琨灯 yupo mcheki namba kumi nane hapo,hawezi kuachwa maana ndio ,mfungaji bora katika ligi yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…