Japan yatangaza kikosi kikali kombe la dunia

inasikitisha sana mshambuliaji hatari waROASSO KUMAMOTO aitwaye TAKUMA ASSANO hajatajwa hapo.😀😀😀😀😀😀😀........
yule alisajiliwa arsenal then akpelekwa ujeruman kwa mkopo, so mwalimu ikashime kamatako kamwacha
 
Ujacheki vizuri huyu straika 敩瑮琨灯 yupo mcheki namba kumi nane hapo,hawezi kuachwa maana ndio ,mfungaji bora katika ligi yao.
huyu jamaa hawezi kosa pia ndo engineer mkuu pale nissan mkuu
 
Huyu nae 湥楬敮牡氬晥 amechukuliwa kwa kiwango kipi alichokionesha?
Yamamoto FC pale penyewe alikuwa anaingia kama sub!
We msinambie kuwa 摮牡 札汩杯獯慬
Ameachwa!!
Angesaidia sana timu yule.jamaa
alionesha sana kiwango alipokuwa NAGOYA FC na FC KUMAMOTO
nasikia msimu ujao anaweza kuuzwa kwenye club ya Kyoto
japan wametuletea mafundi Mechanics
Wazee mnajifariji au vipi!
 
Eee bhana safi sanaaaa kwa koment mujarabu kabisa Hata mie niliko huku pajasaki takota nimefurahi saaaaaaana! keep it Up JF!
 
yule alisajiliwa arsenal then akpelekwa ujeruman kwa mkopo, so mwalimu ikashime kamatako kamwacha
Duh hivi na kocha kumbe wamebadilisha?? maana waliyekua nae wakati ule wanatafuta nafasi alikuwa Mr Nataka Kummamoto,inawezekana walimfukuza baada ya kufungwa ile mechiyao ya mwisho na Saudi Arabia.
 
Hii kahwa ya usiku kwa walinzi. Nimecheka hadi mamsap kaamka.
 
Jumong yupo nch gani kwani?? mbona namuona binamu yake 昣昸昸慢正 kwenye kikosi...
 
Jumong yupo nch gani kwani?? mbona namuona binamu yake 昣昸昸慢正 kwenye kikosi...
jumong yupo kikosi cha south korea, huyo binamu atakuwa migrant huko japan
 
1 Qin Qin Executive

2 Ying Ying Oyster Executive

3 Executive oysters

4 Christianity

5 Executive

6 潲湵 潣潬

7 Slowly positive

9 Fuzhiyue Sapporo

10

11 瑦戠琅潴牦

12 浯潴 捥捥 捥捥 条

13 Shepherd

14 Lights

15 捥捥 Slowly moving

16 Shepherd Ellipsoids

17 獭氭湩慥牧獭氭湩慥

18 Lights

19 Slowly

20 Animal husbandry ellipsoid

21 敧楬敮 散 散 散 散
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…