Japanese alphabet

Japanese alphabet

KABIDO

Member
Joined
Oct 26, 2015
Posts
74
Reaction score
117
Andika jina lako kwa lugha ya Kijapani,
Tafadhali Usiubadiri mchezo huu!!!
Lets laugh a bit by writing your name in
JAPANESE ALPHABET:
A= ka,
B= tu,
C= mi,
D= te,
E= ku,
F= lu,
G= ji, H= ri,
I= ki, J= zu,
K= me, L= ta,
M= rin, N= to,
O= mo, P= no,
Q= ke, R= shi,
S= ari, T= chi,
U= do, V= ru,
W= mei, X= na
Y= fu, Z= zi.
#What's ur name?
 
Duh! Imebidi niache maana jina langu limeishia kuwa tusi la kufanya mod wanipige ban.
 
Ukiweka majina yako halisi aliyeweka hizo alfaphet anajiongeza na yeye anaunganishaunganisha hadi atapata majina yako halisi kwa alphabet za kawaida, hapo unakuwa umejulikana,
 
Back
Top Bottom