Karibu sana Ndugu.Wengi wanapenda pikipiki ila wanaishia kununua toyo by the way pikipiki za kijapan zinadumu.Hizi nazouza Zilikua za mashirika walizokuwa wanatumia huku kwetu.hapo umeikuna nafsi yangu. naomba huu uzi udumu. namoenda huyo mnyama DT hasa iwapo silencer!
uzi upewe sticky. wengine hatuna uwezo hata wa vitz. nakupongeza kwa ubunifu wa kuwajali watu wa chini!