Habari wakuu
Swali dogo sana. Hivi toyota zinazotengenezwa Japan zinaingiliana spea na zile zinazotengenezwa Indonesia? Kuna toyota niliagiza kutoka Indonesia sasa kupata kioo cha nyuma imekuwa shida