godson Lomayani
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 538
- 711
Nimefanikiwa kuliona pambano hilo lililofanyika jijini Nairobi,Kwa kweli mtifuano ulikuwa mzuri kwani Mabondia wote walikuwa wakishambuliana kwa zamu,hadi mzunguko wa 5 Hassan Mwakinyo alipofanikiwa kumlambisha sakafu Muargentina ambaye alishindwa kuendelea na game,that means ameshindwa kwa Technical Knockout. Mwakinyo anatakiwa kufanya yafuatayo ili kujiweka katika nafasi nzuri zaidi:
1.Afanye mazoezi sana ya upigaji ngumi,yaani mtoko wa ngumi uwe wa kasi kubwa kama afanyavyo Bondia Amir Khan.
2.Bondia Tonny Belew wa Uingereza, aliyekuwa anamnoa Mwakinyo ni wa Uzito wa juu, inatakiwa apate wa uzito wake ili aweze kufanya nae Sparring.
3.Afanye mazoezi kujenga muscles ili konde liwe zito.
4. Afanye mazoezi ya kukimbia ili kujenga pumzi ya kutosha.
5.Asimdharau mpinzani yoyote anayekabiliana nae.
6.Confidence
Akimudu kuyafanya hayo atakuwa miongoni mwa Mabondia wazuri sana katika nchi yetu,ataweza kupigana na kina Floyd Mayweather Jr, Miguel Coto,Shane Mosley, Zab Judah, Saul Alvarez Canelo.KEEP IT UP MWAKINYO NOTHING IS IMPOSSIBLE!
Sent using Jamii Forums mobile app