Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Kuna thread nmeisoma humu japo wiki zilizopita..niseme kiti kinadai kimiminika nyekunduPaschal asipuuzwe hata kidogo!!
Binafsi najua Kuna vitu viwili hatari vinatokea mwaka huu 2025!!
1: Cha kwanza ni karma ya mzee kibao Kama ulivyokuwa karma ya Ben saanane 2021!!
2: Hiyo option ya kwanza ikifeli ya pili ni kumsimika mwenyekiti mpya wa chama Cha pembeni kuwa ndiye mwenye kiti kikuu!!!
Wenye kuiponya Tanzania fanyeni Jambo kabla Mambo hayajaaribika zaidi maana sasahv nchi inajiendesha tu bila mwelekeo!!
Bahati mbaya binadamu tunasahau haraka sana, Kama yake Pascal Mayalla alijua kupuuza mambo, yakamkuta yaliyomkuta!Naamini hakuna utakachokiona wewe kama third party yeye asikione na pengine unachokihofia pengine anakijua dhahiri kwa sababu hakuna lililotokea nyuma yeye asiwe na ufahamu nalo kama mtu mwenye nguvu aliyeketi katika meza ya maamuzi kwa muda mrefu pia.
Kuna mengi usioyajua, anayajua, kuna mengi anayopambana nayo, pengine huyajui.
Kwa hiyo picha unayoiona ndio uhalisia sahihi, aidha kama mtu ambaye ameshakubaliana na hali kwa sababu haikuwa dhamira yake kufika alipofika pasipo nguvu kubwa kumshikilia ama la ni sehemu ya mpango wake mkubwa zaidi kwa sababu pengine ana lengo tofauti na hicho kiti anachokikalia.
Kiufupi, acha wafu wazikane
Tena?!Wanabodi,
Haya ni miongoni mwa mabandiko yangu ya kikubwa, weka mbali na watoto, hakuna kutaja taja majina.
Hili ni bandiko la kumhusu yule Kaka yangu, aliyetwaliwa. Japo hakuna binaadamu yeyote ajuaye sababu halisi za kutwaliwa kwake, isipokuwa YEYE mwenyewe pekee, ndie Aliyetoa, kisha Akatwa, ila kuna watu, “Saw It Coming!“ wakasema, wakapuuzwa, as a result, Kaka akatwaliwa!.
Sasa hao watu wenye jicho hilo la tatu, wanaviona viashiria vya same same likely scenario na wanasema kwa nia njema na dhamira safi ya kumsaidia huyu Dada.
Dada yangu mpenzi, nakuomba sana, ukisikia kitu, sio lazima ukizingatie kila utakacho sikia, maana utasikia vingapi?, ila sikiliza kila utakacho sikia, na ukiisikia sauti kutoka ndani yako, the voices from within, ikimwambia kitu, aifanyie tathmini hiyo sauti kama ni sauti ya YEYE Mwenyewe, au ni yeye tuu!, ikitokea ni sauti kwake YEYE, then, usiipuuzie!.
Leo asubuhi nikiwa bafuni naoga ili kwenda kwenye shughuli zangu, nikaisikia sauti, voices from within, ikiniambia, ukisikia kitu, mwambie tuu Dada yako, kuna watu wamemzunguka, wakimwimbia nyimbo za sifa na mapambio, huku wana jicho la tatu, kuna vitu wanaviona, hawamwambiii, wameamua kunyamaza, hawasemi ila ukweli wanaujua, na wana uwezo wa kumsaidia kwa kumwambia ukweli, ila wanachelea labda Dada atakasirika.
Sauti hiyo imeniambia Dada akiambiwa, akisikiliza, itamsaidia, ila akisikia akapuuza, yule YEYE, anaweza kufanya jambo!.
Paskali
Nyooooo nakunywa zangu supu ya kongoro hapa Mbuzi online Mbezi , nasema tena 2025 haendi mtuNaamini hakuna utakachokiona wewe kama third party yeye asikione na pengine unachokihofia pengine anakijua dhahiri kwa sababu hakuna lililotokea nyuma yeye asiwe na ufahamu nalo kama mtu mwenye nguvu aliyeketi katika meza ya maamuzi kwa muda mrefu pia.
Kuna mengi usioyajua, anayajua, kuna mengi anayopambana nayo, pengine huyajui.
Kwa hiyo picha unayoiona ndio uhalisia sahihi, aidha kama mtu ambaye ameshakubaliana na hali kwa sababu haikuwa dhamira yake kufika alipofika pasipo nguvu kubwa kumshikilia ama la ni sehemu ya mpango wake mkubwa zaidi kwa sababu pengine ana lengo tofauti na hicho kiti anachokikalia.
Kiufupi, acha wafu wazikane
RC Chalamila: Katiba ifanyiwe marekebisho Watu wasirogane
Si mchezo huyo ndio Mayalla
Nilipokusoma hivi nikakumbuka kiongozi wa Chama cha Congress wakati huo cha India anayeitwa Sonia Gandhi alipokiongoza Chama hicho na kushinda uchaguzi mwaka 2004 na kukataa kuongoza nchi kama Waziri Mkuu akidai anatii sauti ya ndani mwake - "heeding to my inner voice!".Option ya pili nimeipenda sana. Hako kamchezo ka Option ya kwa
Option ya pili nimeipenda sana. Hako kamchezo ka Option ya kwanza sio kazuri.Wanabodi,
Haya ni miongoni mwa mabandiko yangu ya kikubwa, weka mbali na watoto, hakuna kutaja taja majina.
Hili ni bandiko la kumhusu yule Kaka yangu, aliyetwaliwa. Japo hakuna binaadamu yeyote ajuaye sababu halisi za kutwaliwa kwake, isipokuwa YEYE mwenyewe pekee, ndie Aliyetoa, kisha Akatwa, ila kuna watu, “Saw It Coming!“ wakasema, wakapuuzwa, as a result, Kaka akatwaliwa!.
Sasa hao watu wenye jicho hilo la tatu, wanaviona viashiria vya same same likely scenario na wanasema kwa nia njema na dhamira safi ya kumsaidia huyu Dada.
Dada yangu mpenzi, nakuomba sana, ukisikia kitu, sio lazima ukizingatie kila utakacho sikia, maana utasikia vingapi?, ila sikiliza kila utakacho sikia, na ukiisikia sauti kutoka ndani yako, the voices from within, ikimwambia kitu, aifanyie tathmini hiyo sauti kama ni sauti ya YEYE Mwenyewe, au ni yeye tuu!, ikitokea ni sauti kwake YEYE, then, usiipuuzie!.
Leo asubuhi nikiwa bafuni naoga ili kwenda kwenye shughuli zangu, nikaisikia sauti, voices from within, ikiniambia, ukisikia kitu, mwambie tuu Dada yako, kuna watu wamemzunguka, wakimwimbia nyimbo za sifa na mapambio, huku wana jicho la tatu, kuna vitu wanaviona, hawamwambiii, wameamua kunyamaza, hawasemi ila ukweli wanaujua, na wana uwezo wa kumsaidia kwa kumwambia ukweli, ila wanachelea labda Dada atakasirika.
Sauti hiyo imeniambia Dada akiambiwa, akisikiliza, itamsaidia, ila akisikia akapuuza, yule YEYE, anaweza kufanya jambo!.
Paskali
nza sio kazu
Na afanye InshaAllahWanabodi,

KUHUSIANA NA WASIWASI...Kama ni kweli hilo tukio litawezekana basi
huo utaratibu wa kutwaliana utakuwa ni mtindo endelevu!
Nini sasa kifanyike kuondoa huu utaratibu wa umwagaji damu kwa viongoz wetu waliolewa madaraka?
FAIR ENOUGHNaamini hakuna utakachokiona wewe kama third party yeye asikione na pengine unachokihofia pengine anakijua dhahiri kwa sababu hakuna lililotokea nyuma yeye asiwe na ufahamu nalo kama mtu mwenye nguvu aliyeketi katika meza ya maamuzi kwa muda mrefu pia.
Kuna mengi usioyajua, anayajua, kuna mengi anayopambana nayo, pengine huyajui.
Kwa hiyo picha unayoiona ndio uhalisia sahihi, aidha kama mtu ambaye ameshakubaliana na hali kwa sababu haikuwa dhamira yake kufika alipofika pasipo nguvu kubwa kumshikilia ama la ni sehemu ya mpango wake mkubwa zaidi kwa sababu pengine ana lengo tofauti na hicho kiti anachokikalia.
Kiufupi, acha wafu wazikane
Umenena vyema sana mkuu, ndaga fijo.KUHUSIANA NA WASIWASI...
Hili ndilo litowe mwangaza wa uzuri ama ubaya wa 'Viapo' kwa shauri ambalo ni 'tata'...
Ikiwa kuna kitu kwenye Katiba siyo kamilifu khasa, maana yake mtu yeyote mwenye kiapo anaishi na mtego mzito kwa maisha yake binafsi.
Ikiwapo pana shauri kwenye katiba linaweza kutafsiriwa kana 'siyo kamilifu' basi busara ya mtu yeyote mwenye dhamana, dhamana yenye kuguswa na hilo shauri, inahitajika sana tena pasipo kutegemea mashauri ama/na maamuzi ya watu baki...
Kwa kuwa ni wito na wajibu kwa raia yeyote mwema kuweka mbele maslahi ya taifa, kupita hata shauku binafsi--kuyashinda majaribu yote ya kiutu kupitia utashi...
Kwa kuwa, ikiwa unajua kuna shauri kama vile 'linaelea' kwenye katiba--maana yake haujaliona pekee yako, kuna wengine wengi wanaliona hilo lakini hawalazimiki 'kulijadilijadili sana'...
Kipengele cha 'Rais' kufariki na 'Makamu kuchukua nafasi' na kuendelea na madaraka kwa sura fulani... kina 'Dosari ya Kiufundi' inayoweza kuleta 'vishawishi na majaribu'--lakini Je, ni nani ajuaye?.
Lakini sote tunawajibu wa kuitetea na kulinda katiba hadi hapo tutakapojenga maelewano ya 'kulirekebisha hilo' ama vipi...
Lakini kwa wenye viapo vya dhamana ya utumishi wa umma, hili kweli kabisa ni jambo zito linalofungamanisha 'uadilifu', 'maadili' na 'miiko' katika kujisimamia UTU wako na dhamira yako juu ya mfumo wa sura ya nchi, watu na tawala.
Kuna namna, kukosa upeo wa kujadili fikra ama/na mawazo, na kupendelea kujadili 'Watu' na 'matukio' si jambo jema kwa 'kheri ya wanajamii'.
Hili la kushauriana kuhusiana na labda kipengele fulani kinacholeta uwalakini linazungumzika wakati wote...
Labda kuna namna likizungumzika vizuri na umma pasipo sintofahamu, ushabiki na uchawa na 'kuombeana mabaya' kila kitu kinaweza kwenda shwari tu ikiwa kila mtu anawajibika na mzigo wake kiufahamu na utambuzi...
FAIR ENOUGH
Ikifikia kipindi ambacho watoto wa 2010 ndio watakuwa wazazi na wa 1980's na 1990's kuwa mababu na mabibi. Mambo yatabadilikaMama Tz ndiye anaathirika. Kama mambo yanaendelea hivyo sasa ni kusema "wafu wanawazika wazima" 😭
Wanabodi,
Haya ni miongoni mwa mabandiko yangu ya kikubwa, weka mbali na watoto, hakuna kutaja taja majina.
Hili ni bandiko la kumhusu yule Kaka yangu, aliyetwaliwa. Japo hakuna binaadamu yeyote ajuaye sababu halisi za kutwaliwa kwake, isipokuwa YEYE mwenyewe pekee, ndie Aliyetoa, kisha Akatwa, ila kuna watu, “Saw It Coming!“ wakasema, wakapuuzwa, as a result, Kaka akatwaliwa!.
Sasa hao watu wenye jicho hilo la tatu, wanaviona viashiria vya same same likely scenario na wanasema kwa nia njema na dhamira safi ya kumsaidia huyu Dada.
Dada yangu mpenzi, nakuomba sana, ukisikia kitu, sio lazima ukizingatie kila utakacho sikia, maana utasikia vingapi?, ila sikiliza kila utakacho sikia, na ukiisikia sauti kutoka ndani yako, the voices from within, ikimwambia kitu, aifanyie tathmini hiyo sauti kama ni sauti ya YEYE Mwenyewe, au ni yeye tuu!, ikitokea ni sauti kwake YEYE, then, usiipuuzie!.
Leo asubuhi nikiwa bafuni naoga ili kwenda kwenye shughuli zangu, nikaisikia sauti, voices from within, ikiniambia, ukisikia kitu, mwambie tuu Dada yako, kuna watu wamemzunguka, wakimwimbia nyimbo za sifa na mapambio, huku wana jicho la tatu, kuna vitu wanaviona, hawamwambiii, wameamua kunyamaza, hawasemi ila ukweli wanaujua, na wana uwezo wa kumsaidia kwa kumwambia ukweli, ila wanachelea labda Dada atakasirika.
Sauti hiyo imeniambia Dada akiambiwa, akisikiliza, itamsaidia, ila akisikia akapuuza, yule YEYE, anaweza kufanya jambo!.
Paskali
Kwahiyo huyu hajawaudhi Kwa kuwapa washindani wao resources!!?Hamna lolote ni majungu na uchawi wenu tu. Huyo kaka yako yaliompata ni kwa sababu aliwachukiza wenye dunia yao haswa kwenye suala la Covid 19, waliona anataka kuwaumbua. Na mipango yote ya kumkimbiza kaka yako ilifanyikia hapo kwenye nchi jirani kanakowasaidia M23. Lakini bongo na wanabongoland hawana balls zozote za kuweza kudeal na dada yako. Miaka 5 tena kwa dadaake.
Mkuu umepatwa na nini kwa andiko hili? Pambana na shughuli zako mkuu, kuna level ya mtu akifika ,liwe jambo jema akiambiwa as far limetoka kwa kapuku haliwezi zingatiwa , bali tu likisemwa na kilaza as far as ndo amemzunguka atalisikia liwe la kumpeleka chaka au la , so mkuu ,sio kwa ubaya pambana na shughuli zako.Wanabodi,
Haya ni miongoni mwa mabandiko yangu ya kikubwa, weka mbali na watoto, hakuna kutaja taja majina.
Hili ni bandiko la kumhusu yule Kaka yangu, aliyetwaliwa. Japo hakuna binaadamu yeyote ajuaye sababu halisi za kutwaliwa kwake, isipokuwa YEYE mwenyewe pekee, ndie Aliyetoa, kisha Akatwa, ila kuna watu, “Saw It Coming!“ wakasema, wakapuuzwa, as a result, Kaka akatwaliwa!.
Sasa hao watu wenye jicho hilo la tatu, wanaviona viashiria vya same same likely scenario na wanasema kwa nia njema na dhamira safi ya kumsaidia huyu Dada.
Dada yangu mpenzi, nakuomba sana, ukisikia kitu, sio lazima ukizingatie kila utakacho sikia, maana utasikia vingapi?, ila sikiliza kila utakacho sikia, na ukiisikia sauti kutoka ndani yako, the voices from within, ikimwambia kitu, aifanyie tathmini hiyo sauti kama ni sauti ya YEYE Mwenyewe, au ni yeye tuu!, ikitokea ni sauti kwake YEYE, then, usiipuuzie!.
Leo asubuhi nikiwa bafuni naoga ili kwenda kwenye shughuli zangu, nikaisikia sauti, voices from within, ikiniambia, ukisikia kitu, mwambie tuu Dada yako, kuna watu wamemzunguka, wakimwimbia nyimbo za sifa na mapambio, huku wana jicho la tatu, kuna vitu wanaviona, hawamwambiii, wameamua kunyamaza, hawasemi ila ukweli wanaujua, na wana uwezo wa kumsaidia kwa kumwambia ukweli, ila wanachelea labda Dada atakasirika.
Sauti hiyo imeniambia Dada akiambiwa, akisikiliza, itamsaidia, ila akisikia akapuuza, yule YEYE, anaweza kufanya jambo!.
Paskali
Hii inapigia msumari uzi!kwani mmepanga nini!!?Mkuu umepatwa na nini kwa andiko hili? Pambana na shughuli zako mkuu, kuna level ya mtu akifika ,liwe jambo jema akiambiwa as far limetoka kwa kapuku haliwezi zingatiwa , bali tu likisemwa na kilaza as far as ndo amemzunguka atalisikia liwe la kumpeleka chaka au la , so mkuu ,sio kwa ubaya pambana na shughuli zako.
Hii kweli ya kiutuuzima,asikiaye na asikie na asomaye na aelewe.Wanabodi,