Under-cover
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 1,834
- 3,042
Hana mvuto hata majukwaani anaongea km muuza Wanzuki, mimacho anarembua km wale wadada wa Ubungo Riverside..Kibibi hakiuziki .
Mabango kila mkoa.
Ziara wanasombwa walimu , wanafunzi na wasio na kazi wanapewa peanuts wanaunga uwanjani.
Media zote zimetekewa ni mama kafanya hiki mama kafanya kile.
Miradi uchwara yenye jina lake .
Kununua magoli ya Simba na Yanga.
Hayo yote kafanya na mengine mengi ila bado hauziki.
Kumer-niisha nini ?Nyie wachawi habari zenu,Mnajifanya watabiri kumbe Wanga tu hamna lolote .Lengo lenu kuwatia watu jakamoyo lakini hamfanikiwi kamwe.Mnajifanya kuongea kwa mafumbo ili muonekana mna jambo la maana lakini ni namna ya kujifurahisha tu.
DuhLeo asubuhi nimeota ndoto, kuna member wenzetu wanatekwa na wasiojulikana.
Nafungua Jamiiforums. Uzi wa kwanza kuuona ndio huu.
Advocate, hii nayo ni "Voices from within "?????Wanabodi,
Haya ni miongoni mwa mabandiko yangu ya kikubwa, weka mbali na watoto, hakuna kutaja taja majina.
Hili ni bandiko la kumhusu yule Kaka yangu, aliyetwaliwa. Japo hakuna binaadamu yeyote ajuaye sababu halisi za kutwaliwa kwake, isipokuwa YEYE mwenyewe pekee, ndie Aliyetoa, kisha Akatwa, ila kuna watu, “Saw It Coming!“ wakasema, wakapuuzwa, as a result, Kaka akatwaliwa!.
Sasa hao watu wenye jicho hilo la tatu, wanaviona viashiria vya same same likely scenario na wanasema kwa nia njema na dhamira safi ya kumsaidia huyu Dada.
Dada yangu mpenzi, nakuomba sana, ukisikia kitu, sio lazima ukizingatie kila utakacho sikia, maana utasikia vingapi?, ila sikiliza kila utakacho sikia, na ukiisikia sauti kutoka ndani yako, the voices from within, ikimwambia kitu, aifanyie tathmini hiyo sauti kama ni sauti ya YEYE Mwenyewe, au ni yeye tuu!, ikitokea ni sauti kwake YEYE, then, usiipuuzie!.
Leo asubuhi nikiwa bafuni naoga ili kwenda kwenye shughuli zangu, nikaisikia sauti, voices from within, ikiniambia, ukisikia kitu, mwambie tuu Dada yako, kuna watu wamemzunguka, wakimwimbia nyimbo za sifa na mapambio, huku wana jicho la tatu, kuna vitu wanaviona, hawamwambiii, wameamua kunyamaza, hawasemi ila ukweli wanaujua, na wana uwezo wa kumsaidia kwa kumwambia ukweli, ila wanachelea labda Dada atakasirika.
Sauti hiyo imeniambia Dada akiambiwa, akisikiliza, itamsaidia, ila akisikia akapuuza, yule YEYE, anaweza kufanya jambo!.
Paskali
Nyie wachawi habari zenu,Mnajifanya watabiri kumbe Wanga tu hamna lolote .Lengo lenu kuwatia watu jakamoyo lakini hamfanikiwi kamwe.Mnajifanya kuongea kwa mafumbo ili muonekana mna jambo la maana lakini ni namna ya kujifurahisha tu.
Uongozi ni sawa na koti lakuazima.. Siku zote mchezaji haoni makosa ila watazamaji ndio huwona makosa na ukiwa na busara utasikiliza maoni ya watazamani na ndio maana mpira ni dakika 90 ila kuna mapumziko ambapo wachezaji upewa mrejesho wa uchezaji wao... na wakati mwingine refa huwamua kumtoa huyu na kumuweka yule sasa ktk siasa hakuna tofauti. Bahati mbaya refa ndio mchezaji na ndio mpanga team na huwa hachoki.... Labda azimie kwa uwanja....Wanabodi,
Haya ni miongoni mwa mabandiko yangu ya kikubwa, weka mbali na watoto, hakuna kutaja taja majina.
Hili ni bandiko la kumhusu yule Kaka yangu, aliyetwaliwa. Japo hakuna binaadamu yeyote ajuaye sababu halisi za kutwaliwa kwake, isipokuwa YEYE mwenyewe pekee, ndie Aliyetoa, kisha Akatwa, ila kuna watu, “Saw It Coming!“ wakasema, wakapuuzwa, as a result, Kaka akatwaliwa!.
Sasa hao watu wenye jicho hilo la tatu, wanaviona viashiria vya same same likely scenario na wanasema kwa nia njema na dhamira safi ya kumsaidia huyu Dada.
Dada yangu mpenzi, nakuomba sana, ukisikia kitu, sio lazima ukizingatie kila utakacho sikia, maana utasikia vingapi?, ila sikiliza kila utakacho sikia, na ukiisikia sauti kutoka ndani yako, the voices from within, ikimwambia kitu, aifanyie tathmini hiyo sauti kama ni sauti ya YEYE Mwenyewe, au ni yeye tuu!, ikitokea ni sauti kwake YEYE, then, usiipuuzie!.
Leo asubuhi nikiwa bafuni naoga ili kwenda kwenye shughuli zangu, nikaisikia sauti, voices from within, ikiniambia, ukisikia kitu, mwambie tuu Dada yako, kuna watu wamemzunguka, wakimwimbia nyimbo za sifa na mapambio, huku wana jicho la tatu, kuna vitu wanaviona, hawamwambiii, wameamua kunyamaza, hawasemi ila ukweli wanaujua, na wana uwezo wa kumsaidia kwa kumwambia ukweli, ila wanachelea labda Dada atakasirika.
Sauti hiyo imeniambia Dada akiambiwa, akisikiliza, itamsaidia, ila akisikia akapuuza, yule YEYE, anaweza kufanya jambo!.
Paskali
Ni mtu mjinga tuu anaweza kulinganisha kati ya katiba ya chama au kikundi chochote cha hiari na katiba ya nchi.Ni kweli lakini usisahau hata katiba hii hii mbovu wanaivunja
katiba ya chama chao ndo nayo balaa wanaikanyaga!
Tayari umeshanijibu!siwezi kukujibu maana nimekuelewa uko kundi gani.
Wanabodi,
Haya ni miongoni mwa mabandiko yangu ya kikubwa, weka mbali na watoto, hakuna kutaja taja majina.
Hili ni bandiko la kumhusu yule Kaka yangu, aliyetwaliwa. Japo hakuna binaadamu yeyote ajuaye sababu halisi za kutwaliwa kwake, isipokuwa YEYE mwenyewe pekee, ndie Aliyetoa, kisha Akatwa, ila kuna watu, “Saw It Coming!“ wakasema, wakapuuzwa, as a result, Kaka akatwaliwa!.
Sasa hao watu wenye jicho hilo la tatu, wanaviona viashiria vya same same likely scenario na wanasema kwa nia njema na dhamira safi ya kumsaidia huyu Dada.
Dada yangu mpenzi, nakuomba sana, ukisikia kitu, sio lazima ukizingatie kila utakacho sikia, maana utasikia vingapi?, ila sikiliza kila utakacho sikia, na ukiisikia sauti kutoka ndani yako, the voices from within, ikimwambia kitu, aifanyie tathmini hiyo sauti kama ni sauti ya YEYE Mwenyewe, au ni yeye tuu!, ikitokea ni sauti kwake YEYE, then, usiipuuzie!.
Leo asubuhi nikiwa bafuni naoga ili kwenda kwenye shughuli zangu, nikaisikia sauti, voices from within, ikiniambia, ukisikia kitu, mwambie tuu Dada yako, kuna watu wamemzunguka, wakimwimbia nyimbo za sifa na mapambio, huku wana jicho la tatu, kuna vitu wanaviona, hawamwambiii, wameamua kunyamaza, hawasemi ila ukweli wanaujua, na wana uwezo wa kumsaidia kwa kumwambia ukweli, ila wanachelea labda Dada atakasirika.
Sauti hiyo imeniambia Dada akiambiwa, akisikiliza, itamsaidia, ila akisikia akapuuza, yule YEYE, anaweza kufanya jambo!.
Paskali
Hahahah kwikwikwi, lile tope lilimaanisha nini?? Vitu vingine ni vya kijinga kijinga walifanya hao vijana.Ww ni kkkkummmmmmerninnnnnnner
Mleta mada kaja na ushauri mzuri, ila sasa je ushauri wake unaweza zingatiwa, Binafsi kiroho ninayo mengi tu Mungu wangu amenionesha wala sio leo , ila hata nikiyasema nani wakuyasikiliza , hakuna cha kupanga hapaHii inapigia msumari uzi!kwani mmepanga nini!!?
Haki hudaiwa Kwa njia yoyote ile ukiona watu hawaidai ujue hakuna kilichopoteaIli wapigwe risasi na hao polisi wenu vichaa!?
Kama coach ndio mchezaji na refa wakati huo huo,Uongozi ni sawa na koti lakuazima.. Siku zote mchezaji haoni makosa ila watazamaji ndio huwona makosa na ukiwa na busara utasikiliza maoni ya watazamani na ndio maana mpira ni dakika 90 ila kuna mapumziko ambapo wachezaji upewa mrejesho wa uchezaji wao... na wakati mwingine refa huwamua kumtoa huyu na kumuweka yule sasa ktk siasa hakuna tofauti. Bahati mbaya refa ndio mchezaji na ndio mpanga team na huwa hachoki.... Labda azimie kwa uwanja....
Umenikumbusha mbali sana
Rais Magufuli, nakuomba usipende chomekea neno 'kifo' katika kusisitiza jambo
Mheshimiwa pole kwa Kazi. Najuwa Ile furaha na bahati Kuwa kiongozi mkuu wa Taifa huwa inakufanya upende kusema umejitoa hata kufa Kwa Taifa hili ni kweli kabisa. Tunajua sio wewe tu ila kila Raia wa Taifa hili roho yake ameitoa Kwa Taifa hili tena huenda Sisi tuna sema Kwa maneno ila wapo ambao...www.jamiiforums.com
Niliwaza sana sikujuwa kile kinataka tokea
Nini kitatokea endapo Magufuli atajiongezea muda wa kukaa madarakani?
Samahan kwa wale naweza kuwakwaza. Ila nilikuwa naomba tujiongeze ktk jambo moja ambalo kwa macho ya mbali ningependa tulitafakari. Mh Rais kwa speed anakimbiza nikama 2020 ccm ikalamba viti vingi vya ubunge kupita wakati wote na jambo la hatari zaid Uwenda wana ccm kwa umoja wao pale bungen...www.jamiiforums.com
Nikiwa shabiki mkubwa wa Mzee hayati Baba nikawaza pia hili...
Nakaona picha hiiKosa kubwa analifanya Rais nikudharau hata wale wamemfikisha alipo je atadumu?
Hata tawala za kimila zilizowahi kutikisa dunia zikikuwa namna yakutawala na kutosahau kuwa waliomfikisha pale walipo ndio watu wamuhimu sana. Historia inajieleza ya kuwa pale watawala hawa wa kimila waligeuka na kuwasahau wale waliwafikisha pale walipo tawala zao zilianguka na kama sio...www.jamiiforums.com
Nini kinataka kulikumba Taifa la Tanzania?
Ndugu zangu mimi ni mwana wa asielala. Macho yangu mara nyingi hayafungi.. Ila kuona msio yaona. Kuandika msiyoyatarajia. It might be I was the first person to know Magufuli will be the president and i'm sure ni Mungu alimchagua. Ila leo natamani kusema kila kinataka kutokea na sii kwa mtu...www.jamiiforums.com
Usipende kuvamia vamia madaWaTanzania sijui uwendawazimu utawaisha lini!!! Bado kuna watu mnaamini Samia atashindwa Urais 2025? Hizo nguvu mnazopoteza kafanyieni kazi nyingine.
Hii ni sawa na dhihaka ile ilifanyika kule Loss Angeles...
Na watu wanakushangilia kwa upuuzi huu...
Mungu hadhihakiwi...!