Japo hakuna ajuaye sababu za kutwaliwa kaka, isipokuwa yeye, kuna watu saw it coming, wakasema, wakapuuzwa, akatwaliwa. Dada ukisikia usipuuze hili

Nani anauzika CCM unadhani kwa Sasa ???!
 
😳!
 
Duh Pascal nimekuelewa, na aliyemuonya Magufuli kipindi hicho alikua LEMA
Your browser is not able to display this video.

uh 🙄
 
KWELI KABISA..ukimuamini Mungu hata mlango unaacha wazi..Wezi hawasogei wala nyoka haingii ndani
Naongelea level nyingine kabisa
Huyo dada kibinadamu ana ulinzi wote 100% hakuna shida kabisa
Ila level ya kiroho haupo!!!!!

Tutarudi hapa!
Tutafukua huu Uzi mkuu ni suala muda!

"Kiti"kikishamriwa kinaitika tu
 
Naongelea level nyingine kabisa
Huyo dada kibinadamu ana ulinzi wote 100% hakuna shida kabisa
Ila level ya kiroho haupo!!!!!

Tutarudi hapa!
Tutafukua huu Uzi mkuu ni suala muda!

"Kiti"kikishamriwa kinaitika tu
Ishu za kiroho kila mtu ana tafsiri yake...ukweli anao Mungu pekee.
Kuna wasiomtaka wanamuwinda kiroho , wanaomtaka wanamuombea ulinzi kiroho.
MUNGU ATAAMUA.
 
Vipi wakongwe? Wana tawileeee tawileeeee? Imeanza kunyesha ili panakovuja tukakinge ndoo? Bado nipo jamvini Nina kiu ya maji ya kikombe chako,, lakini niwakumbushe kwamba ukitaka kunong'onezwa vizuri usitie kijiti maskioni na wazeee wetu walisema ili ufike salama ogopa kujikwaa. Salamu zikiwa nyingi hutafsiliwa ni kelele
 
Umesomeka vema mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…