Mkuu, kwa nini unaamini kwamba atakuwa Rais 2025? Una maana hiyo kura yako moja itatosha kumuingiza Ikulu tena? 😲Rais wako baada ya October 2025 ni Samia Suluhu Hassan….. you can take it to the bank.
Na anaweza kweli.Mimi nimezingatia tu hapo "yeye anaweza kufanya jambo"
Wanajua wataiba kura na watanzania watakaa kimya .Mkuu, kwa nini unaamini kwamba atakuwa Rais 2025? Una maana hiyo kura yako moja itatosha kumuingiza Ikulu tena? 😲
Loh!Paschal hasipuuzwe hata kidogo!!
Binafsi najua Kuna vitu viwili hatari vinaweza tokea mwaka huu 2025!!
1: Cha kwanza ni Kifo Cha kiongozi wa juu zaidi Kama ulivyokuwa 2021 baada ya uchaguzi.
2: Hiyo option ya kwanza ikifeli ya pili ni kumsimika mwenyekiti mpya wa chama Cha pembeni kuwa ndiye mwenye kiti kikuu!!!
Wenye kuiponya Tanzania fanyeni Jambo kabla Mambo hayajaaribika zaidi maana sasahv nchi inajiendesha tu bila mwelekeo!!
Acha pombe mzeeWanabodi,
Haya ni miongoni mwa mabandiko yangu ya kikubwa, weka mbali na watoto, hakuna kutaja taja majina.
Hili ni bandiko la kumhusu yule Kaka yangu, aliyetwaliwa. Japo hakuna binaadamu yeyote ajuaye sababu halisi za kutwaliwa kwake, isipokuwa YEYE mwenyewe pekee, ndie Aliyetoa, kisha Akatwa, ila kuna watu, “Saw It Coming!“ wakasema, wakapuuzwa, as a result, Kaka akatwaliwa!.
Sasa hao watu wenye jicho hilo la tatu, wanaviona viashiria vya same same likely scenario na wanasema kwa nia njema na dhamira safi ya kumsaidia huyu Dada.
Dada yangu mpenzi, nakuomba sana, ukisikia kitu, sio lazima ukizingatie kila utakacho sikia, maana utasikia vingapi?, ila sikiliza kila utakacho sikia, na ukiisikia sauti kutoka ndani yako, the voices from within, ikimwambia kitu, aifanyie tathmini hiyo sauti kama ni sauti ya YEYE Mwenyewe, au ni yeye tuu!, ikitokea ni sauti kwake YEYE, then, usiipuuzie!.
Leo asubuhi nikiwa bafuni naoga ili kwenda kwenye shughuli zangu, nikaisikia sauti, voices from within, ikiniambia, ukisikia kitu, mwambie tuu Dada yako, kuna watu wamemzunguka, wakimwimbia nyimbo za sifa na mapambio, huku wana jicho la tatu, kuna vitu wanaviona, hawamwambiii, wameamua kunyamaza, hawasemi ila ukweli wanaujua, na wana uwezo wa kumsaidia kwa kumwambia ukweli, ila wanachelea labda Dada atakasirika.
Sauti hiyo imeniambia Dada akiambiwa, akisikiliza, itamsaidia, ila akisikia akapuuza, yule YEYE, anaweza kufanya jambo!.
Paskali
Nyie wahaini inatakiwa mkamatwe harakaPaschal hasipuuzwe hata kidogo!!
Binafsi najua Kuna vitu viwili hatari vinaweza tokea mwaka huu 2025!!
1: Cha kwanza ni Kifo Cha kiongozi wa juu zaidi Kama ulivyokuwa 2021 baada ya uchaguzi.
2: Hiyo option ya kwanza ikifeli ya pili ni kumsimika mwenyekiti mpya wa chama Cha pembeni kuwa ndiye mwenye kiti kikuu!!!
Wenye kuiponya Tanzania fanyeni Jambo kabla Mambo hayajaaribika zaidi maana sasahv nchi inajiendesha tu bila mwelekeo!!
Sidhani safari hii kama mambo yatakwenda kama ilivyozoeleka.Wanajua wataiba kura na watanzania watakaa kimya .
Unganisha nukta...................Hili ni bandiko la kumhusu yule Kaka yangu, aliyetwaliwa.
HAO WENYE JICHO LA TAI, WALIOCHAGUA KUKAA KIMYA, KUNYAMAZA NA WASIMWAMBIE DADA..HAO NDIO WAZALENDO HALISI WA FAMILIA YETU.Wanabodi,
Haya ni miongoni mwa mabandiko yangu ya kikubwa, weka mbali na watoto, hakuna kutaja taja majina.
Hili ni bandiko la kumhusu yule Kaka yangu, aliyetwaliwa. Japo hakuna binaadamu yeyote ajuaye sababu halisi za kutwaliwa kwake, isipokuwa YEYE mwenyewe pekee, ndie Aliyetoa, kisha Akatwa, ila kuna watu, “Saw It Coming!“ wakasema, wakapuuzwa, as a result, Kaka akatwaliwa!.
Sasa hao watu wenye jicho hilo la tatu, wanaviona viashiria vya same same likely scenario na wanasema kwa nia njema na dhamira safi ya kumsaidia huyu Dada.
Dada yangu mpenzi, nakuomba sana, ukisikia kitu, sio lazima ukizingatie kila utakacho sikia, maana utasikia vingapi?, ila sikiliza kila utakacho sikia, na ukiisikia sauti kutoka ndani yako, the voices from within, ikimwambia kitu, aifanyie tathmini hiyo sauti kama ni sauti ya YEYE Mwenyewe, au ni yeye tuu!, ikitokea ni sauti kwake YEYE, then, usiipuuzie!.
Leo asubuhi nikiwa bafuni naoga ili kwenda kwenye shughuli zangu, nikaisikia sauti, voices from within, ikiniambia, ukisikia kitu, mwambie tuu Dada yako, kuna watu wamemzunguka, wakimwimbia nyimbo za sifa na mapambio, huku wana jicho la tatu, kuna vitu wanaviona, hawamwambiii, wameamua kunyamaza, hawasemi ila ukweli wanaujua, na wana uwezo wa kumsaidia kwa kumwambia ukweli, ila wanachelea labda Dada atakasirika.
Sauti hiyo imeniambia Dada akiambiwa, akisikiliza, itamsaidia, ila akisikia akapuuza, yule YEYE, anaweza kufanya jambo!.
Paskali
Mnaitaka kwenye sahani sio?Ya kutaka katiba mpya, na tume huru ya uchaguzi.
Leta ushahidi acha porojoUsiwe mjinga, sizungumzii mshindi nazungumzia ushindi halali. Sina tatizo na aliyeshinda, nina tatizo na alishinda vipi.
CCM inawanachama hai million 20 hao pekee wanatosha kuhalalisha ushindiMkuu, kwa nini unaamini kwamba atakuwa Rais 2025? Una maana hiyo kura yako moja itatosha kumuingiza Ikulu tena? 😲
Wanalazimisha yatokee kama walivyozoea!Sidhani safari hii kama mambo yatakwenda kama ilivyozoeleka.
Kiufupi utajiri na madaraka huwa vinalevya na kupofusha wengi kwa hiyo anaweza asielewe au asikueleweNaamini hakuna utakachokiona wewe kama third party yeye asikione na pengine unachokihofia pengine anakijua dhahiri kwa sababu hakuna lililotokea nyuma yeye asiwe na ufahamu nalo kama mtu mwenye nguvu aliyeketi katika meza ya maamuzi kwa muda mrefu pia.
Kuna mengi usioyajua, anayajua, kuna mengi anayopambana nayo, pengine huyajui.
Kwa hiyo picha unayoiona ndio uhalisia sahihi, aidha kama mtu ambaye ameshakubaliana na hali kwa sababu haikuwa dhamira yake kufika alipofika pasipo nguvu kubwa kumshikilia ama la ni sehemu ya mpango wake mkubwa zaidi kwa sababu pengine ana lengo tofauti na hicho kiti anachokikalia.
Kiufupi, acha wafu wazikane
Ni mbaya sana ukiporwa ukamwachia Mungu. Tuombe watakaoporwa wakunaliane na yaishe. La wakimuachia Mungu inaweza leta shida. Pascal masomo yako ya Karma huwa nayaogopa sanaWanalazimisha yatokee kama walivyozoea!