Japo hawezi kurudi, hypothetically, kama Magufuli angefufuka, angefurahi au kununa hata kumtumbua mtu?

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709


Japo CCM wanajiridhisha kuwa wanamuenzi marehemu rais John Magufuli, kwa kumdhihaki kwa kauli mbiu yao ya kazi iendelee wakati hakuna kazi yoyote bali upigaji na uvivu, ukweli ni kwamba wamemuangusha vibaya sana.

Japo alishiriki kutengeneza watu waliomuangusha, kwa tulivyomjua, kama angefufuka angafanya nini na hali ingekuwaje?

Je angefurahi na kusherehekea na kusifia kama ilivyo au angekasirika hata kuwazaba watu vibao mbali na kuwatumbua?
 

Attachments

  • 1747326773915.png
    149.3 KB · Views: 22
Tuanziaa hapa kwanza ..

Nani alishawahi kufa akafufukaa 🤔
 
We are living in a failed state
 
Huyu mzee alishakufa jamani eeh, aachwe apumzike huko alipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…