JAPO HUTOPENDA ILA NDIO UKWELI

marcoveratti

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
1,019
Reaction score
1,824
Hakuna mchezaji ulioumiza kama wa Eden Hazard kutoka Chelsea kwenda kwenye viunga vya Madridi,umeumiza mno
.
Ni shabiki gani leo wa Chelsea aliyesahau uwepo wake? Kila niliyemsikia pale OT alikuwa akinong'ona, daah! Hazard angekuwepo!!
.
Kuna wakati timu ilihitaji dribbling zake kuanzia kati kwenda mbele,kuanzia pembeni kulifuata goli. Chelsea ilikua imara sana ilipokuwa nae,mikimbio yake pale uwanjani inaogopesha mno,
Wakati mwingine spirit yake ya kupambana ilihamasisha wenzie na kufosi kutafuta goli.
.
Leo mabeki wa Utd walikosa zile thoruba zake,walikuwa wabunifu mno na hii ni kutokana na kukosa ghasia,
Nina hakika Hazard sio pengo kwa Chelsea pekee ila #epl nzima imepoteza mtu aliyejua kuutia chachandu utamu soka.
.
Kalamu yangu imeisha wino ila nenda Hazard uwe na msimu bora,tukutane UEFA
 
Ni kweli kama jinsi yanga wanavyommiss didier zokora, didier kavumbagu na said bahanuzi
Didier zokora na yanga wapi na wapi mkuu!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hongera mkuu kwa kuwakilisha, jana ULIKUW OT kumbe... dah.
 
Ni kweli kama jinsi yanga wanavyommiss didier zokora, didier kavumbagu na said bahanuzi
Zokora kumbe aliwahi kukipiga tz? Huyo zokora cjui wa wapi, me namjua mmoja tu wa spurs
 
Zokora kumbe aliwahi kukipiga tz? Huyo zokora cjui wa wapi, me namjua mmoja tu wa spurs
Didier zokora aliwai kukipiga yanga mwishoni mwa miaka ya 80 pia ndio anashikilia rekodi ya mchezaji wa yanga aliyefunga magoli mengi kwa kichwa
 
Kwa beki Zuma mtapigika sana,na Lampard anataka kuleta ushujaa wa kutumia vijana vipigo vitawakoma msimu huu
 
David LUIZ NA HAZARD MAPENGO YAO KUZIBIKA SIO LEO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…