Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 43,973
- 150,463
Mungu tunakuomba uibariki na kuiongoza timu yetu ya Tanzania katika mchezo dhidi ya Lesotho...... Mungu ukawabariki walinzi wake wote bila kumsahau Manula..... Ukawatie nguvu na wepesi katika mipango wale viungo wetu..... Usiwasahau washambuliaji Mungu.
Alama tatu kwetu ni muhimu kuliko kwa Lesotho...
Alama tatu kwetu ni muhimu kuliko kwa Lesotho...