Japo natetemeka "Taifa starz" kumbukeni tupo nyuma yenu

Lee

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2013
Posts
43,973
Reaction score
150,463
Mungu tunakuomba uibariki na kuiongoza timu yetu ya Tanzania katika mchezo dhidi ya Lesotho...... Mungu ukawabariki walinzi wake wote bila kumsahau Manula..... Ukawatie nguvu na wepesi katika mipango wale viungo wetu..... Usiwasahau washambuliaji Mungu.

Alama tatu kwetu ni muhimu kuliko kwa Lesotho...
 
Mm leo nashangilia kwa miguu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…