Japo ni mtoto wa kike, Nataka nijiajiri kwa kuendesha bajaj

Unataka kukiajili au kudanga???
 
Me naendesha scania,naenda Congo, Malawi,Burundi,.na nchi jirani tena muda huu niko tunduma naelekea Zambia,.. Nataka nikutie moyo tuu kuwa unaweza, jiheshimu na heshimu kazi yako,pia usifanye kazi hiyo mpaka usiku sana ili kuepuka hatari....Mungu akufanyie wepesi katika uthubutu wako.

Kila lenye kheri.
 
Asante sana mkuu hujui tu kwa kiasi gani ujumbe wako umenitia moyo
 
happiness001 Huwa natumia sana Bajaj, ukianza tu nipe namba yako ya simu nitakuwa abiria wako kila siku. Vile vile ungejaribu na bodaboda hakika utapata abiria wengi hasa wa kiume.
Nilishawahi kupata mwendeahabbida boda mwanamke.
Nilimpa kumbatio hadi nikaongeza safari. Nilikuwa naihia kimara mwisho ila nikamwambia anipeleke mbezi mwisho afu nikarudi na mwendo kasi.
Ttako la mwendesha boda mdada likinikosha sana
 
Duuuh!! Hongera sana wii
 
Yaani kitendo tu cha kufikiria kuendesha Bajaji huo ni mwanzo mzuri wa mafanikio, Vile wanawake siku hizi wengi wanatumia ujuzi katikati ya Miguu na wewe hujafikiria hilo.

Bajaji sio kazi mbaya ila jiandae kukutana na changamoto zake then kila kitu kitakuwa poa, piga kazi mwisho saa 2 usiku then rudi kwenu kalale. Epuka mazoea na masela coz watakuletea mahaba mwisho watakula kitumbua mixer kuiba bajaji.

Ila huyo Baba ako hana biashara nyingine unayoweza kusimamia zaidi ya kuendesha hizo bajaji..??
 
Itakuwa wewe ndio nilikukuta pale lonagro na kampuni moja sitaitaja.
Big up sana mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…