Mbwa humtumikua anaye mlisha, na ukiona anabweka sana jua mwenye mbwa hayuko mbali.
Hatutasikiliza kelele za mbwa tuta deal na mwenye mbwa kisha ndio tuta deal na mbwa.
Hata mbwa akiona bwana wake kauwawa hato endelea kubweka ila atalia na kukimbia.
Kasema waandamanaji wanalipwa wao ccm na polusi nani anawalipa kuteka na kuua watanganyika?