Japo subira yavuta heri lakini nimechoka kusubiri

Japo subira yavuta heri lakini nimechoka kusubiri

Daniel Adrian

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2019
Posts
311
Reaction score
326
Karibia mwaka sasa toka nitoe tangazo la kutafuta mwenzi humu.

Upweke ni kitu mbaya sana.

Mimi ni kijana umri ni late 20.
Natafuta mwenzi ambae atakuwa mke.
Nimeajiriwa.
Sichagui dini.

Kwa upande wa umri naona nilegeze kidogo ili nipate mwenzi maana upweke ushanichosha. Jamani mimi sichagui umri ili mradi tu upo chini ya miaka 40. (Umri namba tu, cha msingi ni ndoa)

Unaweza niuliza mtaani hakuna? Hakuna, huwa naonana na wake za watu tu, istoshe sina muda kabisa wa kukaa mtaani

Naomba muje PM kwa maelezo zaidi.

Sina mtoto kwahiyo kama huna mtoto ntakupa first priority.
 
Nyinyi watu mnaohangaika kutafuta wake kwani kituo cha Makumbusho hamkijui? Posta je? Yaani unajiendea zako pale kila kazi unaiona kali kuizidi nyingine.

Wewe ni kua smart tu na kua smooth katika kuanzisha conversation na kuendeleza kujuana.
 
Kaa utulie kwanza maana hizo ni stress zinakusumbua tu usifikiri ndoa ni kama kuagiza bia kaunta no, Kaa mshirikishe Mungu jiridhishe moyoni ikiwa kweli unataka ukutane na mwenzi wako wa ndoa, Vinginevyo unapalilia vidonda vinavyokuja kulipuka mkiwa ndani ikiwa huna tena chaguo jingine.
 
Karibia mwaka sasa toka nitoe tangazo la kutafuta mwenzi humu.

Upweke ni kitu mbaya sana.

Mimi ni kijana umri ni late 20.
Natafuta mwenzi ambae atakuwa mke.
Nimeajiriwa.
Sichagui dini.

Kwa upande wa umri naona nilegeze kidogo ili nipate mwenzi maana upweke ushanichosha. Jamani mimi sichagui umri ili mradi tu upo chini ya miaka 40. (Umri namba tu, cha msingi ni ndoa)

Unaweza niuliza mtaani hakuna? Hakuna, huwa naonana na wake za watu tu, istoshe sina muda kabisa wa kukaa mtaani.

Naomba muje PM kwa maelezo zaidi.

Sina mtoto kwahiyo kama huna mtoto ntakupa first priority.
Inbox me

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Karibia mwaka sasa toka nitoe tangazo la kutafuta mwenzi humu.

Upweke ni kitu mbaya sana.

Mimi ni kijana umri ni late 20.
Natafuta mwenzi ambae atakuwa mke.
Nimeajiriwa.
Sichagui dini.

Kwa upande wa umri naona nilegeze kidogo ili nipate mwenzi maana upweke ushanichosha. Jamani mimi sichagui umri ili mradi tu upo chini ya miaka 40. (Umri namba tu, cha msingi ni ndoa)

Unaweza niuliza mtaani hakuna? Hakuna, huwa naonana na wake za watu tu, istoshe sina muda kabisa wa kukaa mtaani.

Naomba muje PM kwa maelezo zaidi.

Sina mtoto kwahiyo kama huna mtoto ntakupa first priority.
Mlifikia wapi na Prisca?
 
Back
Top Bottom