Daniel Adrian
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 311
- 326
Hahaaaaa nimecheka kwa nguvuMkuu naona unajaribu kutafuta matatizo kwa nguvu zote
Utakipata
Inbox meKaribia mwaka sasa toka nitoe tangazo la kutafuta mwenzi humu.
Upweke ni kitu mbaya sana.
Mimi ni kijana umri ni late 20.
Natafuta mwenzi ambae atakuwa mke.
Nimeajiriwa.
Sichagui dini.
Kwa upande wa umri naona nilegeze kidogo ili nipate mwenzi maana upweke ushanichosha. Jamani mimi sichagui umri ili mradi tu upo chini ya miaka 40. (Umri namba tu, cha msingi ni ndoa)
Unaweza niuliza mtaani hakuna? Hakuna, huwa naonana na wake za watu tu, istoshe sina muda kabisa wa kukaa mtaani.
Naomba muje PM kwa maelezo zaidi.
Sina mtoto kwahiyo kama huna mtoto ntakupa first priority.
[emoji16][emoji16][emoji16] kwahiyo ndoa Ni taasisi ya matatizo !?Mkuu naona unajaribu kutafuta matatizo kwa nguvu zote
Utakipata
Mlifikia wapi na Prisca?Karibia mwaka sasa toka nitoe tangazo la kutafuta mwenzi humu.