Japo yuko nje ya nchi Freeman Mbowe achangia zaidi ya 50 mil ili kuwezesha Kongamano la BAWACHA Mlimani City

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba Mwenyekiti Mstaafu wa Chadema, Freeman Mbowe amewezesha kitita kikubwa cha fedha ili kugharamia Kongamano la Wanawake la Kidunia lilioandaliwa na BAWACHA kwenye Ukumbi wa Mlimani City, D'Salaam.

Inatajwa kwamba Mwamba amechangia zaidi ya Sh mil 50 za Kitanzania

Screenshot_2025-03-13-13-45-50-1.png

Kwa niaba ya Dunia Natoa Shukrani za Dhati kwa Freeman Mbowe kwa Moyo wake huu wa kutoa, Mungu amzidishie.
 
Kutoa ni moyo, hasa kwa kiongozi kama yeye.
Lakini mahela ya aina hiyo inayotajwa kama ni kutoka kwa mtu mmoja yanatia shaka sana bila kujali ukwasi alio nao mtu huyo.
Isije ikawa ni njia ya mlango wa pembeni toka kwa mahasimu wa chama kupaka mafuta ya kulainisha maeneo hafifu ya chama ili kukidhoofisha.
 
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba Mwenyekiti Mstaafu wa Chadema, Freeman Mbowe amewezesha kitita kikubwa cha fedha ili kugharamia Kongamano la Wanawake la Kidunia lilioandaliwa na BAWACHA kwenye Ukumbi wa Mlimani City, D'Salaam.

Inatajwa kwamba Mwamba amechangia zaidi ya Sh mil 50 za Kitanzania

View attachment 3269091

Kwa niaba ya Dunia Natoa Shukrani za Dhati kwa Freeman Mbowe kwa Moyo wake huu wa kutoa, Mungu amzidishie.
SIYO KWELI MBOWEEEE?
 
Lisu ana uhakika Gani kama pesa hizo hazijatoka kwa mama Abdul.Lisu aache siasa za kijinga ili kupata uongozi
 
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba Mwenyekiti Mstaafu wa Chadema, Freeman Mbowe amewezesha kitita kikubwa cha fedha ili kugharamia Kongamano la Wanawake la Kidunia lilioandaliwa na BAWACHA kwenye Ukumbi wa Mlimani City, D'Salaam.

Inatajwa kwamba Mwamba amechangia zaidi ya Sh mil 50 za Kitanzania

View attachment 3269091

Kwa niaba ya Dunia Natoa Shukrani za Dhati kwa Freeman Mbowe kwa Moyo wake huu wa kutoa, Mungu amzidishie.
Hilda Newton alisema Mbowe hajachangia hata thumni mbovu.

Amandla...
 
Usimsahau 'Fundi Mchundo' katika kundi hilo.
Lissu kachangia ngapi? Hata kwenye hili hamkutaka kumpa stahili yake FAM kwa sababu mlisema hajachangia hata thumni. Kila siku tunawaambia kuwa pamoja na juhudi zenu za kumchafua FAM atabakia kuwa muungwana.

Amandla...
 
Ili kukata mzizi wa fitna waweke orodha ya waliochangia. Ila Hilda ni lazima ajue kuwa sio lazima mtu kutumia jina lake anapochangia.

Amandla...
 
Back
Top Bottom