Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
NaamMbowe waga namkubali sana yule Mwamba pamoja na kwamba siikubaligi CHADEMA. Ana busara sana Mbowe, ni kiongozi yule.
Kwanini?Retired na Ngongo hawatapenda hii habari
Tatizo CCM hamna busara hivyo busara zake zinakuwa hazina maana.Mbowe waga namkubali sana yule Mwamba pamoja na kwamba siikubaligi CHADEMA. Ana busara sana Mbowe, ni kiongozi yule.
Usimsahau 'Fundi Mchundo' katika kundi hilo.Retired na Ngongo hawatapenda hii habari
SIYO KWELI MBOWEEEE?Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba Mwenyekiti Mstaafu wa Chadema, Freeman Mbowe amewezesha kitita kikubwa cha fedha ili kugharamia Kongamano la Wanawake la Kidunia lilioandaliwa na BAWACHA kwenye Ukumbi wa Mlimani City, D'Salaam.
Inatajwa kwamba Mwamba amechangia zaidi ya Sh mil 50 za Kitanzania
View attachment 3269091
Kwa niaba ya Dunia Natoa Shukrani za Dhati kwa Freeman Mbowe kwa Moyo wake huu wa kutoa, Mungu amzidishie.
Kumbe ni wewe! basi hayaSIYO KWELI MBOWEEEE?
Uko sahihi, imekanushwaSIYO KWELI MBOWEEEE?
Lisu ana uhakika Gani kama pesa hizo hazijatoka kwa mama Abdul.Lisu aache siasa za kijinga ili kupata uongoziTaarifa ikufikie Popote ulipo kwamba Mwenyekiti Mstaafu wa Chadema, Freeman Mbowe amewezesha kitita kikubwa cha fedha ili kugharamia Kongamano la Wanawake la Kidunia lilioandaliwa na BAWACHA kwenye Ukumbi wa Mlimani City, D'Salaam.
Inatajwa kwamba Mwamba amechangia zaidi ya Sh mil 50 za Kitanzania
View attachment 3269091
Kwa niaba ya Dunia Natoa Shukrani za Dhati kwa Freeman Mbowe kwa Moyo wake huu wa kutoa, Mungu amzidishie.
Hilda Newton alisema Mbowe hajachangia hata thumni mbovu.Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba Mwenyekiti Mstaafu wa Chadema, Freeman Mbowe amewezesha kitita kikubwa cha fedha ili kugharamia Kongamano la Wanawake la Kidunia lilioandaliwa na BAWACHA kwenye Ukumbi wa Mlimani City, D'Salaam.
Inatajwa kwamba Mwamba amechangia zaidi ya Sh mil 50 za Kitanzania
View attachment 3269091
Kwa niaba ya Dunia Natoa Shukrani za Dhati kwa Freeman Mbowe kwa Moyo wake huu wa kutoa, Mungu amzidishie.
Watu matajiri hawanaga kinyongo ukilinganisha na masikini wenye uchawi, chuki,husda wivu na mengine mengiMbowe waga namkubali sana yule Mwamba pamoja na kwamba siikubaligi CHADEMA. Ana busara sana Mbowe, ni kiongozi yule.
Lissu kachangia ngapi? Hata kwenye hili hamkutaka kumpa stahili yake FAM kwa sababu mlisema hajachangia hata thumni. Kila siku tunawaambia kuwa pamoja na juhudi zenu za kumchafua FAM atabakia kuwa muungwana.Usimsahau 'Fundi Mchundo' katika kundi hilo.
Yeye na viongozi wake tuamini nani?Hilda Newton alisema Mbowe hajachangia hata thumni mbovu.
Amandla...
Kuna shida kweli kweli.Yeye na viongozi wake tuamini nani?