Japokua nampenda lakini ukewenza sikubali...


Huu ndio uamuzi wa kuchukua.

Mimi hapa sitoingia kwenye dini bali dunia. Hapo hakuna cha kusubiri wala nini. Ikiwa mkwe wako kaanza hizo, ataendelea kukuchuna daima hata baada ya kumvumilia mume wako kuoa tena.

Ninachokushauri- AMUA HARAKA SANA - usiendelee kunung'unika tu. Kitu cha kwanza ondoka hapo hivi sasa, na mweleze kabisa kuwa akioa hurejei tena kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…