babu onyango
JF-Expert Member
- Jan 12, 2023
- 378
- 984
Kile kipogo cha Nov 5 bado kipo akilini mwa wana Lunyasi wengi, Ukitaka kuthibitisha hilo angalia reaction yao kwny nyuzi za mechi za Yanga.
Niwaombe wana Simba wenzangu tukubali tuliteleza na pia Yanga kwa sasa wana timu nzuri zaidi yetu, kisha tusonge mbele.
Kuendelea kubishana nao ni kujisababishia magonjwa ya moyo tu bule.