babu onyango
JF-Expert Member
- Jan 12, 2023
- 378
- 984
Kile kipogo cha Nov 5 bado kipo akilini mwa wana Lunyasi wengi, Ukitaka kuthibitisha hilo angalia reaction yao kwny nyuzi za mechi za Yanga.
Niwaombe wana Simba wenzangu tukubali tuliteleza na pia Yanga kwa sasa wana timu nzuri zaidi yetu, kisha tusonge mbele.
Kuendelea kubishana nao ni kujisababishia magonjwa ya moyo tu bule.
Yatapita tu mkuuMakolo wanaumia sana na 5G za Yanga, bahati nzuri nao waliiikoga 5 ya motoo
Ukitoa Ihefu, hatuna timu ya kutushinda hapa bongo NBCPL sisi wananchi ndio wababe NBCPL.Kile kipogo cha Nov 5 bado kipo akilini mwa wana Lunyasi wengi, Ukitaka kuthibitisha hilo angalia reaction yao kwny nyuzi za mechi za Yanga.
Niwaombe wana Simba wenzangu tukubali tuliteleza na pia Yanga kwa sasa wana timu nzuri zaidi yetu, kisha tusonge mbele.
Kuendelea kubishana nao ni kujisababishia magonjwa ya moyo tu bule.
Nyie ndo hamuamini mpk leo aisee...Aisee!! Kama nawaona vile wanavyo umia kwa haya masimango!
HahahahahaTunatofautiana viwango vya umbumbumbu mkuu
Kubishana ni jadi, kulikuwapo hata kabla ya 5G ya mwaka jana. Nadhani kutobishana ndio litakuwa jambo jipya. By the way, hata wao wameishi na 5G muda mwingi tu, Je, waliacha kubishana?Kuendelea kubishana nao ni kujisababishia magonjwa ya moyo tu bule.