C.T.U
JF-Expert Member
- Jun 1, 2011
- 5,074
- 3,743
STAA wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper ‘Amber Rose wa Bongo', juzikati alinaswa akichunguliwa nyeti zake na msanii kutoka Afrika Kusini, Cleopas Monyepao ‘DJ Cleo'.
Tukio hilo lilitokea Machi 9, mwaka huu maeneo ya Mlimani City jijini Dar, ambapo wawili hao walikutana kwa ajili ya kupata chakula cha mchana pamoja na wenzao.
Wakiwa maeneo hayo, Wolper alionekana kuwa ‘close' sana na mkali huyo wa wimbo wa Facebook na walipokuwa eneo la Samaki Samaki, mara kwa mara wawili hao walionekana kuzidisha ukaribu.
Aidha, Wolper aliposimama, kiblauzi chake alichokuwa amekivaa kilipanda juu na kukiacha wazi kitovu chake alichokiremba vilivyo, kitendo kilichomchanganya DJ Cleo.
Katika kuonesha kudatishwa na eneo hilo nyeti la Wolper, msanii huyo alionekana kukodolea macho kwa sekunde kadhaa kisha akiinama na kukipandisha juu kiblauzi alichovaa staa huyo wa filamu.
Tukio hilo liliwaacha midomo wazi baadhi ya watu waliokuwa wakiwapiga chabo huku wakihoji sababu za Wolper kuchekelea kufanyiwa kitendo hicho.
Hata hivyo, baada ya muda mastaa hao wakiwa wameongozana na wenzao waliondoka eneo hilo na kuacha minong'ono kwamba huenda wawili hao wamezimikiana.
Chanzo: Global Publishers