Jaribio la kugomea Sensa: Mwitikio wa Serikali

walipanda wenyewe, watavuna wenyewe.
Nafikiri kuna kila sababu katika kugoma. Kama mtu anahisi kuonewa lazima apiganie haki yake.

Kwamfano kama NECTA inawaonea kundi flani, kwanini wasigomee national examinations? Yani Form IV exam wasitokee!
Wanafunzi wa kiislam Ndanda High school kule Masasi Mtwara waligomea mtihani wa kiadato cha sita Februari 2012. Wizara ya Shukuru Kawamba imewabembeleza warudie mtihani huo mwakani!
 

thank u..!
If they think we don know our history,if they think we r stil wapenda ubwabwa like the way it was fabricated before,if they think we r running away from school,if they think we r stil fearin to talk n fight for what its ours then they hav to think again..!
Tumeskia,tumekubali na kwa moyo mmoja tumetiii,,,NO SENSA...!
We r not beneffiaciries of that Non sense...!
 
Wanafunzi wa kiislam Ndanda High school kule Masasi Mtwara waligomea mtihani wa kiadato cha sita Februari 2012. Wizara ya Shukuru Kawamba imewabembeleza warudie mtihani huo mwakani!
Waligoma au walisimamishwa? hebu tufafanulie.
Maana yake ninavyoelewa mimi hata Waziri (Muislamu) "aliwekwa sehemu yake anapohusika" kwa amri yake kukaidiwa na mkuu wa Shule.
 
Na muislamu akinyimwa kazi kwa sababu hana vigezo, anajua kiarabu tu unalalamika?
No offence. Kuna kazi unaajiriwa kutokana na mavazi na kuna zinazohitaji vigezo.


nimefurahi sana uliponyimwa kazi sababu hujajistiri .. no offense ..
 
Ana malengo gani huyu mzee? malengo yake yalikuwa kuiua ccm, kuiingiza nchi kwenye umasikini wa kutisha, na yote yametimia. Hana malengo mapya.
 
Its ok to fight and make a point. Meanwhile do something! Kanisani kwangu tunafanya ujenzi wa shule na hostel. Kila wiki sadaka tunachangishana tshs si chini ya 25M, trust me! Mkihamasishana na kuchangishana mkaendelea kujenga mashule yenu wakati huo mnaendelea kupigania haki zenu mbona mtafika mbali sana? Mamangu mkubwa alikufa maskini. Alikataa kusoma shule ya 'kikatoliki' na 'kuabudu sanamu'. Akaishia std 7, ila alikuwa anapewa support na walioabudu sanamu (strange how faith works huh? Unakuwa na ndugu kafir ila wanao wakiumwa wanakusaidia hela na unaona sawa tu!).

Marafiki zangu wengi ni waislamu na wanapambana kujikwamua sio kwa mabishano, na vitendo pia. All the best katika harakati zote.
 

UTAJIBEBA,MSALABA NDIO ALAMA YA USHINDI,unabisha? Si mlikuwa mnafungia watoto wenu ndani eti wasiende shule,mmeona matokeo?
 
Hivi ukishahesabiwa unalipwa sh ngapi vile??????

Hii ina maana moja tu, huwezi pia kujua ni kwa nini umekosa elimu ya kutosha. Na kama hujui kwa nini huna elimu ya kutosha huwezi kujua utajitoa vipi hapo ulipo kisha utasingizia mfumo kristo umekupokonya elimu.
 
au mnaogopa waislam wakionekana wapo wengi huku wakiristo ndio waliotufisha hapa kwenye umaskini kwa kupeana vyeo makazini?
Huu ufinyu wa fikra na ujinga ndiyo unaoifanya serikali isite kuweka kipengele cha dini kwenye dodoso la sensa. Maana kuna wajinga ambao wanahitaji hizo takwimu si kwa malengo ya maendeleo, bali kwa malengo mabaya ya kuendeleza udini katika nchi yetu.
 
Waislamu ndani ya mfumo kristo? Malima kilichomkuta MoE unakijua? nitajie kiongozi wa NECTA muislamu aliyepita tokea baraza lianzishwe, Kwa nini wasifanyi uchunguzi 10yrs back ambao waislamiu wameomba na kuanika matokeo hadharani?

viongozi wa NECTA hawasahihishi mitihani na walimu wanaokwenda kusahihisha wanateuliwa na Wizara ya elimu ambayo waziri wake wa sasa ni mwislamu, naibu wake ni mwislamu na katibu mkuu wake ni mwislamu.

Unataka kusema Katibu mkuu wa NECTA akiwa mwislamu na waziri wa elimu akiwa mkristo, Naibu mkristo na katibu mkuu mkristo itasaidia waislamu kufanya vema kwenye mtihani au kupendelewa.
 


Duh hii kali; ina maana rate ya kuzaliwa ni sawa na rate ya vifo. Bongo bana!!!!
 
Mf.hili la sensa,hawataki kuhesabiwa lakini kazi za sensa wamo ndo nini sasa? Kanisani kwangu tulianza kusali nje kwenye turubai,baadae muumin mmoja akatupa jengo,tumeabudu pale kwa 7 years huku tunatoa sadaka za ujenzi! Leo hii tuna kanisa kubwa lina kila kitu,mfumo wa sauti,viti vya kisasa,AC. and kizuri zaidi tunafungu la kusaidia vijana mtaani wasiojiweza, na tunachangishana wenyewe! Tukizidiwa,tunaandaa harambe!tunawafata hukohuko tunahubiri wakiamin wanakuja kanisani, j2 ijayo vijana 30 wanamaliza mafunzo yao ya mwez mzima ya ujasiliamali na walikuwa wanakaa kambini,ada,chakula,malazi na usafiri ni juu ya kanisa! Huku kulalamika bila matendo ni kubaya sana! MI SIJAWAHI KUSIKIA KANISANI WAKIONGELEA CHOCHOTE KUHUSU UISLAM, lakini nikipita mtaani ukakta mihadhara htashndwa kuckia, wakiristo hv,vle,ndo nini jamani? MF.ISHU YA NDANDA,shule ile ilikuwa ya kanisa miaka ile,then serikal ikaichukua,so kanisa lilikuwepo wenye shule walijenga, changen mjenge mckiti! Tukisema mnasema tunawabagua bt hamtumii akili. Mf. NIMESOMA SHULE YA KANISA,BT ILICHUKUA WATU WA IMANI ZOTE,NA form za kujiunga zilisema wazi ukiwa shule utafata misingi yao, ukikubali leta mwanao, jamaa mmoja muislam siku ile ilikuwa zamu ya darasa kuosha nguruwe,akagoma! Aliambiwa afate mzaz km hakubal akae kwao.mbona alitii..
 
fanya jastaposis kidogo hapa waarabu walianza kuja afrika masharika kabla hata ya watawala wote hapa kwetu. Katika biashara ambayao ilpendwa na kubarikiwa kwa mikono miwili na wazungu pamoja na waarabu i.e tipu tipu na musiri. Hapa tanganyika as then it was waarabu walipanda mibuyu mfano iliopo dodoma na mpaka kigoma ili kutoipoteza njia za kupitishia watumwa walikuwa na wazo hilo hilo kumbuka hawa watumwa walikuwa wakibebeshwa pembe za ndovu na mizigo mingine. Alipokuja mzungu yeye aliweka wazo la reli kwa kurahisishaji wa usafiri. Sasa mwarabu pamoja na kukaa miaka mingi hakuwa na wazo reli. Kwa hiyo swala la uvivu kwa ndugu zetu ni kama la kurith tuache kukaa kwenye vjiwe vya gahawa njooni tuchape kazi. sio kuwa omba omba kama taifa nalo.
 
Mufti ISSA SIMBA alisema siku ya hotuba yake ya EID songea kwamba sio kazi ya serikali kuhesabu waislamu bali ni kazi ya misikiti kujua idadi ya waumini wao na akasisitiza kwamba wakianzia na songea kuhesabu na kwenda nchi nzima. Alisema waislamu wana nafasi ya kuanzisha register yao.

pia alisema ana mashaka ya suala la kuhesabu waislamu kama litafanywa na serikali ambayo baadhi ya waislamu wanasema hawana imani nayo akataka kujua inawezekana vipi kumpa kazi ya kuhesabu waislamu mtu anayeitwa serikali wakati huna imani naye?

kisha akamaliza kwa kusema, kuna Redio imeanzishwa inatukana wengine( nahisi ni redio imani ya dhehebu la answar sunna) kwani haichagua inatukana nani awe mkristo au mwislamu (bakwata). Akauliza waislamu waliokuwa wanamsikiliza kwa nini na sisi tusianzishe redio ya kuwajibu, wakaitikia ndioooooooo sawaaaaaaaaaaaa.
 
'They' WHO?
BAKWATA au?
 
Mipasho style .... yani upoteze nguvu na resources kumjibu mjinga??!!
Hiyo ni akili mchuzi kabisa.
 


nimefurahi sana uliponyimwa kazi sababu hujajistiri .. No offense ..
ndo usilalamikie wakristo sasa,ubunafsi wa nduguzo ndo unakufanya mawazo yako yadumae umebakiza kulalamika tu.endelea kijisitili na maumivu uyapate vizuri na ukome kusingizia wakristo wakati mmetuharibia nchi imekuwa ya majambazi na walalamishi kama wewe.
 

Si usiende huko kutibiwa, kwani ulillazimishwa? Ohh misalaba, anzisha hospital Yako,
 
Tembelea dar es salaam yote. mwingereza na mjerumani waliweza kuacha majengo ya Ikulu ambayo yanatumiwa na nchi yetu hadi leo, kanisa kama vile la St. joseph na Azania front vyote hivi vina zaidi ya miaka 100 wakati nchi ina miaka 50 ya uhuru.

Uliza sasa mwarabu aliacha nini hata msitikiti wa kisasa enzi hizo. Hapo ni rahisi tu kujua kwa nini kundi moja kihistoria liko mbele dhidi ya uislamu.

Angalia msitikiti wa kisasa aliojenga Muhammar Gadaff kule dodoma angejenga na shule ya elimu dunia angewakomboa waislamu. Shule pia zinaleta umoja wa kiimani pale watu wa imani moja wanaposoma pamoja sio misikiti tu na makanisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…