Jaribio la kupindua Serikali lagonga mwamba Sudan

Jaribio la kupindua Serikali lagonga mwamba Sudan

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Serikali Nchini humo imesema kumekuwepo jaribio la kufanya mapinduzi ambalo limeshindikana, na hatua zinachukuliwa kudhibiti hali hiyo.

Shirika la Habari la AFP limenukuu chanzo kilichosema kulikuwepo jaribio la kuvamia jengo ambalo linatumika na Vyombo vya Habari vya Serikali. Mahojiano na washukiwa yanatarajiwa kufanyika.
===

The Sudan government says there has been a failed coup attempt in the country and measures are being taken to contain it, state media are reporting.

"There has been a failed coup attempt, the people should confront it," the AFP news agency quotes reports as saying.

There had been an attempt to take over the building that houses the state media, AFP says citing a government source.

A government spokesman said the interrogation of suspects behind the attempted coup would begin shortly.

Source: BBC
 
Safi sana,hii ndio dawa ya wanaochezea box la kura na kufanya mazingaombwe yao ya kijinga. Huwezi kusikia mapinduzi yanefanyika kwenye zinazoheshimu box la kura kama South Africa, Botswana, Ghana
 
Itakua mabaki ya wafuasi wa Al Bashir hawo, wanataka kupindua meza baaada baba yao kuondoshwa kwa fedheha.
 
Safi sana,hii ndio dawa ya wanaochezea box la kura na kufanya mazingaombwe yao ya kijinga. Huwezi kusikia mapinduzi yanefanyika kwenye zinazoheshimu box la kura kama South Africa, Botswana, Ghana
Tanzania mkuu naona umeisahau🤣
ipe haki yake
 
kuna vitu vingine ni kufa kupona kama kupindua seriakali maana ukifeli utajuta kuzaliwa kudadeki
Ile ni do or die.

Unatakiwa kufanya tukio ukiwa ushapiga hesabu zako vizuri kama Mamadou
images-364.jpg
 
Back
Top Bottom