Jaribio la kutaka kuiangusha serikali ya Nyerere 1982/1983

This made me laugh out and remember why back in the days, there was slogan that goes as ....
"Nyerere Kaunda Banda Azikiwe Nkrumah"

Another piece of fine reading!
 
Mkuu kwa hisroria tuliyofundishwa kuwa alijinyonga ni kweli?Au baada ya kukimbia alikamatwa na Wajerumani, then wakamnyonga?
 
Paskali, wote hao kina nani?
Wengi humu ni wadogo, mwaka 1982 kulifanyika jaribio la kumpindua Nyerere lililofanywa na askari wa vyeo vya chini wa JWTZ, kambi ya Lugalo ambapo mara ya kwanza walishitakiwa wanajeshi 42, na raia 14, jumla watu 56, akiwemo msaidizi wa Nyerere wa uchumi Balozi Christopher Pastor Ngaiza.

Baadae wakabaki 42, mwisho wakabaki 21.
P
 

Kumbe Ngaiza alikuwa msaidizi wa uchumi wa Nyerere? Na yule aliyetoroka gerezani nani alimtorosha? Moja ya vituko vingi vya enzi hizo.

Waziri wa Mambo ya ndani alijiuzuru
 
Mkuu Afande Macha, heshima kitu cha bure, huku kuitana waongo kwa kitu ambacho huna uhakika nacho, sio kunitendea haki!. Jee wewe unawajua washitakiwa wote 46 na unauhakika wote wamekufa?.
P
Please don't worry P, sisi tunatambua kuwa wewe unajua hizo issues zaidi kuliko huyo aliyekuita muongo.

Shida ya vijana akiwa yeye hajui basi anafikiria na wengine wote wako kwenye level yake ya kutojua.
 
Kumbe Ngaiza alikuwa msaidizi wa uchumi wa Nyerere? Na yule aliyetoroka gerezani nani alimtorosha? Moja ya vituko vingi vya enzi hizo.

Waziri wa Mambo ya ndani alijiuzuru
Aliyetoroka gerezani ni Father Tom, Pius Lugangira, japo walioshitakiwa ni maofisa wa ngazi za chini, kulikuwa na maofisa wa ngazi za juu nyuma yao, ili jeshi lisichafuke, wale maofisa wote wa juu waliokuwa implicated, wote wakaondoshwa jeshini na kupostiwa ubalozini hadi walipotimu umri wa kustaafu. The Ring leader alikuwa Brigadier fulani Msukuma!.
P
 

Ndio yule babu aliyezeekea kwa wapopo?🤣🤣🤣🤣
 
Ndio yule babu aliyezeekea kwa wapopo?🤣🤣🤣🤣
Yes ndiye yeye, lile kabila ni wapiga show wazuri, vita ya Kagera, jamaa alipendwa na vijana balaa kuliko bosi wake kwasababu yeye alijali vijana, wakati bosi wake akimjali mdingi tuu!.

Baada ya vita ilikuwa jamaa ndie awe.CDF, Dingi anaogopa makabila makubwa!, hivyo lazima top iwe Mara, CS mara, Vijana wakamwambia tunapiga show tunakukabidhi, akawapa baraka zake. Ilipobuma Dingi kule top yote akapangua, tupa kule mpaka anastafu!.
P
 
Pasco
Mbona taarifa nyingine zinasema Mjeshi M alikuwa implicated kwa sababu Ndugu yake Luteni Maganga alihusika na jaribio, wakapata hisia naye pengine anahusika
 

Kazi sana. Walimletea mzee wa watu madhira maana ameishi nje karibu miaka yote.
Lakini boss aliwahi kusema hata kung'atuka kuna watu walikuwa wanamwambia usitoke...ili waendelee kula kwa upole.
Na kuna hoja fikirishi juu ya nani ni nani na anahusikaje kuhusu tarehe 12 April 1984.🤣🤣🤣
 
Madini ya JF

Hii mada imenikumbusha Tambaza boys 🐼
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…