Inanoga kweli na chumvi,will try nijionee
wengi tumezoea kumenya NANASI nakula bila kuchanganya nachochote leo JARIBU hii
chukua bakuli kubwa weka maji kiasi changanya na chumvi ya wastani menya NANASI lako navipande vyake vitie kwenye yale maji yachumvi subiri dktano then enjoy the wonderful testo(≧v≦πoo(≧v≦πoo(≧v≦πo
hahaaa inaongeza hamu ya kula
hii ntaifanya leo then naleta results
Bado hujajaribu tu? Nasubiri nijue ili nani nitngeneze.
Bado mkuu
Jamani Y
Hakuna haja ya kutia maji, wewe ukishakatakata vipande vidogo vidogo tia chumvi laini kiasi, tia na pilipili manga iliyosagwa vizuri......mmmmh, utakuwa hauli nanasi la hivihivi, labda kama ni nanasi kavu!