Jaribu hii

moyafricatz

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2015
Posts
2,904
Reaction score
4,902
*Je wajua?*

*Pengine inaweza kukustua lakini huu ndio ukweli na uhalisia wa mambo:-*

*Chukua mwaka aliokufa Hayati J.K. Nyerere 1999 kisha toa na mwaka uliozaliwa wewe, halafu jumlisha na miaka 17 ya kifo chake jibu lake utapata umri wako sahihi*

*Na hapo ndipo utajua kumbe ni kweli alikuwa baba wa taifa*

*NB:*
*_Ukipata jibu tofauti na Umri wako basi wewe sio Raia halali wa Tanzania_*.

*#Kilajiwelitageuzwa!*
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…