mathsjery
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 2,249
- 1,813
Nafikiri umekuwa ukijiuliza maswali mengi juu ya programming, kwamba ni kitu gani, kinafanya nini na utawezaje kukifanya, siko hapa kukufundisha maana haiwezekani ila nitakueleza njia ambazo nimekuwa nikizitumia kujifunza programming tangu siku ya kwanza niliposikia msamiati huu. Nafikiri zitakusaidia pia.
Kama haufahamu kuhusu programming tafuta course hii Programming-Foundations, kama unapenda vya bure tumia link hii hapa kabla haija expire ni muhimu sana kwa kila anayeanza programming akapita humo, maana humo utajua nini cha kufanya na wapi pa kuanzia.
Hatua unazoweza kuzifuata ili ujifunze programming kwa field yoyote ile uipendayo na kupata matokeo.
kwa wapenda tutorial zilizo katika format ya video.
Ukidownload video iliyounganishwa mwanzo mwisho mara nyingi video hii uchukukua saa mbili mpaka tano kulingana na lugha inayofundishwa.
Ili usichoke tafuta screen kubwa kuanzia 23" play video ukiwa na note book, hapa usinote code bali note hatua baadhi ya mambo anayozungumza mwalimu, ukichoka stop katembee uko kisha ukipata muda rudia zile notes na baadae jaribu kufanya mwenyewe kabla haujaendelea na session nyingine nakuhakikishia utaipenda programming na utaonekana kama kichaa maana wakati mwingine ukiulizwa eti una series za kikolea unaonyesha series za node.js 🙂.
Kwa video zilizotenganishwa kwa dakika unaweza zipaki kwenye playlist alafu unarelax na notebook kama kawa.
MWISHO
Ni hayo tu nimeona faida kwa hayo.
Nakaribisha maswali.

- Tambua unavyotaka kuvifanya.
- Tambua field ya hivyo unavyotaka kuvifanya
- Tambua kuwa hakuna field isiyolipa maana hausomi ili ujue tu bali ufanyie kazi uliyoyasoma, na huu ndo ukweli.
- Ukishajua field unayopenda komaa nayo hiyo kwanza na tumia lugha ambazo zinatumika zaidi kulingana na field hiyo, acha kufuata upepo kwa kila kinachogunduliwa unataka ukijue hata kama kina mwaka, narudia tena jaribu kuangalia lugha zinazo trend kwenye field yako.
- Acha uvivu soma vitabu ikibidi nunua, bahati nzuri leo hii unaweza pata vitabu hata kwa torrent site. Hapa nakushauri uwe na hard copy kuepuka matatizo ya kiafya.
- Acha uvivu kila unachosoma kikiwa kigumu jaribu kukinote kwenye note book kwa marejeo ya baadae.
- Acha uvivu type code kwa vidole vyako, acha copy na paste, kumbuka kuwa unapo copy na kupaste code ni vyepesi kusahau kile ulichojifunza, lakini tambua ili kuelewa code kunaitaji vidole vinavyochakalika zaidi. (Alaaniwe aliyegundua copy na paste lakini abarikiwe zaidi).