Jaribu kuvaa viatu vya Jaji Siyani, ungeamuaje kesi ya Komandoo anayedai kateswa ukitumia Busara na Hekima?

Jaribu kuvaa viatu vya Jaji Siyani, ungeamuaje kesi ya Komandoo anayedai kateswa ukitumia Busara na Hekima?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Binafsi nampongeza Jaji Siyani kwa kutanguliza uzalendo na utaifa mbele huku akiutumia mwanya wa kisheria uliojitokeza.

Kesi ya Mbowe inaweza kumalizwa kwa namna nyingine yoyote bila kuathiri sifa za Ukomandoo.

Wakati mwingine tunapaswa kuwa waelewa zaidi.

Kesi za namna hii labda zinahitaji teknolojia ya Artificial Intelligence.

Mungu wa mbinguni awabariki sana!
 
Majaji walikua kina Nyalali na Kina Samata January Msofe, Kipenka, etc hawa wa voda fasta wana behave kama watoto wa certificate ya law kule Lushoto. No substantive and objective maamuzi.

Wao wanataka wamfurahishe hangaya tu, na utashangaa hii kesi bila hangaya mwenyewe kuingilia kati kila mmoja atajitoa ili kuponya ugali wake, shame on majaji wa yeboyebo aka half cooked
 
Kwani inatumika sheria au hisia za Jaji?

nakubaliana na wewe kesi inaweza kumalizwa chumbani, lakini wataka haki wakisema wanataka haki itendeke tutawafanya nini?

Komando aliwezaje kuacha ukomando na kuwa bodyguard wa mtu binafsi kirahisi? labda mnielimishe, ni rahisi tu hivihivi katika nchi Komando kuzagaa mtaani bila uangalizi na kuhukumiwa tu kirahisi kwenye mahakama za kiraia..?
 
Kwani tunaenda kusoma na kupewa majukumu ili "tuvae viatu vya wengine?"! Stick to your professional ethics kama the late Professor Baregu, Professor Assad na yule Professor was Sharia!

Usifanye kazi kumfurahisha MTU, hukukesha chuo ili uje kumfurahisha senior wako otherwise wazazi wangeuza ng'ombe pesa wakanywea supu tu kuliko kusomesha ng'ombe ngingine
 
Majaji walikua kina Nyalali na Kina Samata January Msofe , Kipenka, etc hawa wa voda fasta wana behave kama watoto wa certificate ya law kule Lushoto. No substantive and objective maamuzi. wao wanataka wamfurahishe hangaya tu, na utashangaa hii kesi bila hangaya mwenyewe kuingilia kati kila mmoja atajitoa ili kuponya ugali wake, shame on majaji wa yeboyebo aka half cooked
Hao ni makada wa UVCCM mkuu
 
Kwani tunaenda kusoma na kupewa majukumu ili "tuvae viatu vya wengine?"! Stick to your professional ethics kama the late Professor Baregu, Professor Assad na yule Professor was Sharia!

Usifanye kazi kumfurahisha MTU, hukukesha chuo ili uje kumfurahisha senior wako otherwise wazazi wangeuza ng'ombe pesa wakanywea supu tu kuliko kusomesha ng'ombe ngingine
Achana na huyo babu mlinzi wa CCM
 
Alifukuzwa kazi

Komando akifukuzwa kazi anaachwa anazagaa tu mtaani, Komando anafukuzwaje kazi? Hawezi kuhukumiwa kijeshi yakaishia kijeshi huko? ( anyaway watalaam wa usalama watatuambia)..
 
Majaji walikua kina Nyalali na Kina Samata January Msofe , Kipenka, etc hawa wa voda fasta wana behave kama watoto wa certificate ya law kule Lushoto. No substantive and objective maamuzi.

Wao wanataka wamfurahishe hangaya tu, na utashangaa hii kesi bila hangaya mwenyewe kuingilia kati kila mmoja atajitoa ili kuponya ugali wake, shame on majaji wa yeboyebo aka half cooked
Tatizo hii kesi wamekutana majaji na wakili anayejiita msomi kumbe hana lolote utetezi gani anafanyaga badala ya kuuliza mambo ya muhimu kweli unauliza mtuhumiwa alikamatwa anakunywa supu au anatembea halafu basi hakuna mwendelezao swai gani hilo shame on kibatala
 
Kwani inatumika sheria au hisia za Jaji?..

nakubaliana na wewe kesi inaweza kumalizwa chumbani, lakini wataka haki wakisema wanataka haki itendeke tutawafanya nini?....

Komando aliwezaje kuacha ukomando na kuwa bodyguard wa mtu binafsi kirahisi? labda mnielimishe, ni rahisi tu hivihivi katika nchi Komando kuzagaa mtaani bila uangalizi na kuhukumiwa tu kirahisi kwenye mahakama za kiraia..?
Siyo rahisi Mbowe ni gaidi
 
tatizo hii kesi wamekutana majaji na wakili anayejiita msomi kumbe hana lolote utetezi gani anafanyaga badala ya kuuliza mambo ya muhimu kweli unauliza mtuhumiwa alikamatwa anakunywa supu au anatembea halafu basi hakuna mwendelezao swai gani hilo shame on kibatala
Majaji wanaohongwa vyeo ni maadui wa haki.
Hupindua hukumu kumfurahisha mwanasiasa
 
Komando akifukuzwa kazi anaachwa anazagaa tu mtaani, Komando anafukuzwaje kazi ? hawezi kuhukumiwa kijeshi yakaishia kijeshi huko? ( anyaway watalaam wa usalama watatuambia)..
Ndio sababu Jaji Siyani alitumia Hekima na Busara kufuta kesi ndogo!
 
tatizo hii kesi wamekutana majaji na wakili anayejiita msomi kumbe hana lolote utetezi gani anafanyaga badala ya kuuliza mambo ya muhimu kweli unauliza mtuhumiwa alikamatwa anakunywa supu au anatembea halafu basi hakuna mwendelezao swai gani hilo shame on kibatala
Peter Kibatala ni miongoni mwa mawakili wazuri sana anafaa kuwa AG.

Maswali ya wanasheria usiyabeze yako very technical.

Kwa mfano Komandoo aliposema " nilihojiwa" Jaji akamaliza kesi ndogo hapo hapo!
 
Alifukuzwa kazi
Kama alifukuzwa kazi yuko huru kujiajiri kujipatia kipato halali, na moja ya mambo aliyojifunza ni VIP protection, kuna ubaya gani akipewa ajira hiyo? Mbona kuna wengi wastaafu na wengine walifukuzwa lakini wako KK security?...amefukuzwa jeshi ameondoka amewaachia jeshi lenu hajatoka hata na ganda la risasi. Tuache uonevu sisi sote ni watz na kila mwajiriwa ataacha kazi ama kwa umri au kushindwa kuendana na matakwa ya boss wake...
 
Binafsi nampongeza Jaji Siyani kwa kutanguliza uzalendo na utaifa mbele huku akiutumia mwanya wa kisheria uliojitokeza
Nadhani Mimi ndio sijaelewa kwamba UZALENDO ni muhimu kuliko UTU hapa napata shida kidogo kuhusu huu uzalendo unaohubiriwa Sasa yaani UTU wa Mtanzania hauna dhamani kabisa hii ni NAZISM kind of patriotism where there was massacre of innocent people in the name of uzalendo 😊😊
 
Kama alifukuzwa kazi yuko huru kujiajiri kujipatia kipato halali, na moja ya mambo aliyojifunza ni VIP protection, kuna ubaya gani akipewa ajira hiyo? Mbona kuna wengi wastaafu na wengine walifukuzwa lakini wako KK security?...amefukuzwa jeshi ameondoka amewaachia jeshi lenu hajatoka hata na ganda la risasi. Tuache uonevu sisi sote ni watz na kila mwajiriwa ataacha kazi ama kwa umri au kushindwa kuendana na matakwa ya boss wake...
Mbona Dr Slaa alifukuzwa upadre na akaajiriwa Chadema na baadae akawa balozi!!
 
Back
Top Bottom