johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hao ni makada wa UVCCM mkuuMajaji walikua kina Nyalali na Kina Samata January Msofe , Kipenka, etc hawa wa voda fasta wana behave kama watoto wa certificate ya law kule Lushoto. No substantive and objective maamuzi. wao wanataka wamfurahishe hangaya tu, na utashangaa hii kesi bila hangaya mwenyewe kuingilia kati kila mmoja atajitoa ili kuponya ugali wake, shame on majaji wa yeboyebo aka half cooked
Wanaenda kujifunza jinsi ya kubalance baridi ya Lushoto na mimbabehave kama watoto wa certificate ya law kule Lushoto
Achana na huyo babu mlinzi wa CCMKwani tunaenda kusoma na kupewa majukumu ili "tuvae viatu vya wengine?"! Stick to your professional ethics kama the late Professor Baregu, Professor Assad na yule Professor was Sharia!
Usifanye kazi kumfurahisha MTU, hukukesha chuo ili uje kumfurahisha senior wako otherwise wazazi wangeuza ng'ombe pesa wakanywea supu tu kuliko kusomesha ng'ombe ngingine
Alifukuzwa kazi
Hatari snWanaenda kujifunza jinsi ya kubalance baridi ya Lushoto na mimba
Tatizo hii kesi wamekutana majaji na wakili anayejiita msomi kumbe hana lolote utetezi gani anafanyaga badala ya kuuliza mambo ya muhimu kweli unauliza mtuhumiwa alikamatwa anakunywa supu au anatembea halafu basi hakuna mwendelezao swai gani hilo shame on kibatalaMajaji walikua kina Nyalali na Kina Samata January Msofe , Kipenka, etc hawa wa voda fasta wana behave kama watoto wa certificate ya law kule Lushoto. No substantive and objective maamuzi.
Wao wanataka wamfurahishe hangaya tu, na utashangaa hii kesi bila hangaya mwenyewe kuingilia kati kila mmoja atajitoa ili kuponya ugali wake, shame on majaji wa yeboyebo aka half cooked
Siyo rahisi Mbowe ni gaidiKwani inatumika sheria au hisia za Jaji?..
nakubaliana na wewe kesi inaweza kumalizwa chumbani, lakini wataka haki wakisema wanataka haki itendeke tutawafanya nini?....
Komando aliwezaje kuacha ukomando na kuwa bodyguard wa mtu binafsi kirahisi? labda mnielimishe, ni rahisi tu hivihivi katika nchi Komando kuzagaa mtaani bila uangalizi na kuhukumiwa tu kirahisi kwenye mahakama za kiraia..?
Majaji wanaohongwa vyeo ni maadui wa haki.tatizo hii kesi wamekutana majaji na wakili anayejiita msomi kumbe hana lolote utetezi gani anafanyaga badala ya kuuliza mambo ya muhimu kweli unauliza mtuhumiwa alikamatwa anakunywa supu au anatembea halafu basi hakuna mwendelezao swai gani hilo shame on kibatala
Ndio sababu Jaji Siyani alitumia Hekima na Busara kufuta kesi ndogo!Komando akifukuzwa kazi anaachwa anazagaa tu mtaani, Komando anafukuzwaje kazi ? hawezi kuhukumiwa kijeshi yakaishia kijeshi huko? ( anyaway watalaam wa usalama watatuambia)..
Peter Kibatala ni miongoni mwa mawakili wazuri sana anafaa kuwa AG.tatizo hii kesi wamekutana majaji na wakili anayejiita msomi kumbe hana lolote utetezi gani anafanyaga badala ya kuuliza mambo ya muhimu kweli unauliza mtuhumiwa alikamatwa anakunywa supu au anatembea halafu basi hakuna mwendelezao swai gani hilo shame on kibatala
Kama alifukuzwa kazi yuko huru kujiajiri kujipatia kipato halali, na moja ya mambo aliyojifunza ni VIP protection, kuna ubaya gani akipewa ajira hiyo? Mbona kuna wengi wastaafu na wengine walifukuzwa lakini wako KK security?...amefukuzwa jeshi ameondoka amewaachia jeshi lenu hajatoka hata na ganda la risasi. Tuache uonevu sisi sote ni watz na kila mwajiriwa ataacha kazi ama kwa umri au kushindwa kuendana na matakwa ya boss wake...Alifukuzwa kazi
2025 tutawapeni Polepole awasaidie kugombea urais!Achana na huyo babu mlinzi wa CCM
Nadhani Mimi ndio sijaelewa kwamba UZALENDO ni muhimu kuliko UTU hapa napata shida kidogo kuhusu huu uzalendo unaohubiriwa Sasa yaani UTU wa Mtanzania hauna dhamani kabisa hii ni NAZISM kind of patriotism where there was massacre of innocent people in the name of uzalendo 😊😊Binafsi nampongeza Jaji Siyani kwa kutanguliza uzalendo na utaifa mbele huku akiutumia mwanya wa kisheria uliojitokeza
Mbona Dr Slaa alifukuzwa upadre na akaajiriwa Chadema na baadae akawa balozi!!Kama alifukuzwa kazi yuko huru kujiajiri kujipatia kipato halali, na moja ya mambo aliyojifunza ni VIP protection, kuna ubaya gani akipewa ajira hiyo? Mbona kuna wengi wastaafu na wengine walifukuzwa lakini wako KK security?...amefukuzwa jeshi ameondoka amewaachia jeshi lenu hajatoka hata na ganda la risasi. Tuache uonevu sisi sote ni watz na kila mwajiriwa ataacha kazi ama kwa umri au kushindwa kuendana na matakwa ya boss wake...