Jaribu kuvaa viatu vya Jaji Siyani, ungeamuaje kesi ya Komandoo anayedai kateswa ukitumia Busara na Hekima?

Kama ulikua haujui kuwa komando hakumfungi kufanya kazi jeshini maisha yake yote ila anaweza kwenda sehemu nyingine kuitumikia taaluma yake(ukomando) kama akiona inamfaa
 
Ulaaniwe kama Kaini
 
Wewe ndio haujui hayo maswali msingi wake ni kuona ni namna gani mtuhumiwa alikamatwa je kuna namna yoyote haki zake zilivunjwa au sheria ilifuatwa, na Kama tulivyoona polisi hawakufuata PGO, sheria haikufuatwa
 
Aliathiriwa na mabomu
 
Kula [emoji481] kwa [emoji200] kwanza nakuja kulipa
 
Ni hatari sn
Hakuna hatari yoyote ni namna tu ya kutanua wigo wa ajira, mfano wenzetu marekani Kuna mfumo huo komando akishamaliza muda wake either kwa kustaafu au kusitisha mkataba anaweza kuajiriwa na makampuni binafsi ambayo wakati mwingine yana maslahi mazuri kuliko hata jeshini
 
Alishaondoka Jeshini
 
Peter Kibatala ni miongoni mwa mawakili wazuri sana anafaa kuwa AG.

Maswali ya wanasheria usiyabeze yako very technical.

Kwa mfano Komandoo aliposema " nilihojiwa" Jaji akamaliza kesi ndogo hapo hapo!
kwahiyo yale maneno aliyolishwa na kibatala akashindwa kuyatumia maana hajui sheria akajichanganya akasema ukweli sasa hapo mbowe anaponea wapinijeloa miaka mingi sana
 
Balaa sn
 
kwahiyo yale maneno aliyolishwa na kibatala akashindwa kuyatumia maana hajui sheria akajichanganya akasema ukweli sasa hapo mbowe anaponea wapinijeloa miaka mingi sana
Freeman Mbowe hawezi kufungwa baba yake alipigania Uhuru wa nchi hii kwa gharama binafsi.

Hizi siasa siyo kama unavyozifikiria!
 
Komando akifukuzwa kazi anaachwa anazagaa tu mtaani, Komando anafukuzwaje kazi? Hawezi kuhukumiwa kijeshi yakaishia kijeshi huko? ( anyaway watalaam wa usalama watatuambia)..
only in Tanzania na hatakiwi afanye kazi hata ya kulinda club , kimsingi kwa tafsiri yao ukifukuzwa kazi unatakiwa ufe tu
 
Keshi huamuliwa kwa sheria sio hisia period. Jaji alitumia hisia hapo ndio penye hisia. Ukiona mtu anatete hali hii anatetea asichokijua.
 
Umenena ukweli mtupu. Hao iowataja walikuwa majaji hasa.

Lakini hawa maofisa wa TISS aliowapeleka marehemu mahakamani, kumeifanya Tanzania kuonekana haina jaji. Kuanzia jaji mkuu, msajili wa mahakama, jaji kiongozi - wote TISS officers, tena ambao hata huko TISS sioni kama wana chochote cha maana.
 
Majaji wote wa yule dhalim walikuwa wa Mkakati wa kuwafunga wapinzani na ikiwezekana hata kuwapa hukumu za kunyongwa hadi wafe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…