Jaribu kuwaza ingekuwa CHAKI..................... Ingekuwaje?

Sharo hiphop

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2011
Posts
660
Reaction score
104
Ukweli napowaona wanaume wenzangu hasa wanaopenda sana wanawake/mademu huwa najiuliza maswali kibao kuhusu hizi lolipop! Utakuta mtu anajisifia eti ashatembea na wanawake kibao wakati mwingine hata zaidi ya 50, sasa ebu jiulize assume huyo jogoo wako anaewika kwa kila mwanamke angekuwa anaisha kama chaki za ubaoni ingekuwaje?
 
Ningemtuma mwanafunzi akachukue pale ofsn fasta. Au ningekuwa na mabox ya chalks kibao.
 
km zingekuwa chaki basi vitu vingi vingekuwa c km ambvyo vipo leo...ipo hvyo coz ndivyo ilivyo.
 
Au ingekuwa kama mshumaa!!!!
 
Je umewahi kujiuliza nyayo za miguu zingekuwa zinaisha kama soli za viatu, ungekuwa umebadili ngapi hadi leo hii?
 

chaki za ubaoni zikiisha ni wapi huenda kuzipata nyingine?.............................hilo halingemfanya ache ngono kwa sababu angelizinunua za akiba............na mambo yote yangeliendelea mdundo moja kwa zote.....................
 
KAMA INGALIKUWA KAMA CHAKI BASI KUNGELIKUWA NA VIWANDA VINGI VYA KUVITENGENEZA.Mhhhh,hili swali ni km vile unajenga nyumba angani,coz ni kitu kisichowezekana
 
Ingekuwa chaki wanawake wengi wangesomea ualimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…