Jaribu uji wa ulezi wenye hiliki na maziwa

Jaribu uji wa ulezi wenye hiliki na maziwa

PesaNdogo

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2013
Posts
1,994
Reaction score
1,291
Nimejaribu hivi karibuni nimegundua ni mtamuuu.
Pika uji wako kama kawaida ila hakikisha umeweka hiliki kabla haujaanza kuchemka halafu maziwa weka Mwishoni yatokote kidogo na uji.
 
Yeah ni kweli uji ukiwekwa hiliki hata mdalasini pia unapendeza sana maziwa napenda kuweka katika uji wa aina yeyote
 
Back
Top Bottom