PesaNdogo JF-Expert Member Joined Jun 19, 2013 Posts 1,994 Reaction score 1,291 Dec 15, 2014 #1 Nimejaribu hivi karibuni nimegundua ni mtamuuu. Pika uji wako kama kawaida ila hakikisha umeweka hiliki kabla haujaanza kuchemka halafu maziwa weka Mwishoni yatokote kidogo na uji.
Nimejaribu hivi karibuni nimegundua ni mtamuuu. Pika uji wako kama kawaida ila hakikisha umeweka hiliki kabla haujaanza kuchemka halafu maziwa weka Mwishoni yatokote kidogo na uji.
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,917 Dec 16, 2014 #2 Yeah ni kweli uji ukiwekwa hiliki hata mdalasini pia unapendeza sana maziwa napenda kuweka katika uji wa aina yeyote
Yeah ni kweli uji ukiwekwa hiliki hata mdalasini pia unapendeza sana maziwa napenda kuweka katika uji wa aina yeyote