Deportivo la coruna
Senior Member
- Aug 16, 2021
- 141
- 248
Ipo hivi:
Tumedumu kwenye mahusiano kama mwaka hivi, imefikia muda sasa nataka kuoa halafu yeye dini tofauti na naona kuna mambo tunatofautiana sana, dini amekataa kubadilisha anataka nibadilishe mimi.
Sasa leo nimemwambia tu bora kila mtu atafute wa kufanana naye anaanza kudai eti nataka kiti na mapazia yangu niliyoyaacha kwako, yaani kiti na pazia moja anaona ni gharama kubwa kuliko pesa zangu nilizomlisha kumsomesha nakumlipia kodi kwa mwaka mmoja.
Kwanini wasichana wengi wa sasa hamna shukurani? Na mimi nikisema anilipe ataweza kweli?