Uchaguzi 2020 JARIDA: Ni Magufuli tena 2020 - 2025

Joined
Sep 8, 2020
Posts
67
Reaction score
133
Kutoka Jarida la Kwanza:

Mgombea wa Chama cha Mapinduzi(CCM) nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais, Dkt John Pombe Magufuli amesema kuwa atazalisha ajira milioni nane katika kipindi cha miaka mitano ijayo.

Rais Magufuli ametoa ahadi hiyo leo Agosti 29, 2020 Jijini Dodoma wakati wa uzinduzi wa kampeni za Chama hicho kulekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 28 mwaka huu.

Amesema kuwa ajira hizo zitatokana na miradi mbalimbali mikubwa na kimkakati inayoendelea kutekelezwa na ile itakayotekelezwa
katika miaka mitano mingine kama ikiwemo miradi ya ujenzi wa uwanja wa ndege wa Msalato, ujenzi wa uwanja
wa mpira wa miguu pamoja na ajira za moja kwa moja kutoka Serikalini.



SAMPULI ZA JARIDA:




 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…