Jasho jingi kwapani

Jasho jingi kwapani

Hahaaaa Eti anakula sana ugari maharage...kila ukimaliza kuoga sugulia limao ilo kwapa mijasho itapungua sana...ulete mrejeshoo
 
Hahaaaa Eti anakula sana ugari maharage...kila ukimaliza kuoga sugulia limao ilo kwapa mijasho itapungua sana...ulete mrejeshoo

limao, ndimu,hata ukoko wa ugali nimejaribu sana lakini hakuna nafuu yoyote,kwa habari ya kunyoa-huwa siruhusu hata unyele mmoja kuota..
 
Natokwa na jasho jingi kwapani wakati wote,naomba ushauri nifanyeje halitoa harufu.

Nakushauri utumie deodorants zetu za Oriflame utaepukana na tatizo hilo..huzuia jasho kutoka kwapani,,bei yake ni nafuu sh.6000/= karibu sana..piga 0655868643 utaletewa
 
Back
Top Bottom