UGARI MAHARAGE
Member
- Sep 10, 2014
- 20
- 0
Hahaaaa Eti anakula sana ugari maharage...kila ukimaliza kuoga sugulia limao ilo kwapa mijasho itapungua sana...ulete mrejeshoo
Mmh..umelogewa jasho nenda kwa mtaalamu kalumanzila atakusaidia labda
Natokwa na jasho jingi kwapani wakati wote,naomba ushauri nifanyeje halitoa harufu.