xavihernandezalcantara
Senior Member
- Nov 17, 2020
- 124
- 132
Ngoja nikutumie Bando la buku10 uitume humu....Kuna wimbo ameimba na Ally Kiba, aisee ni nomaaaaaaaaaaaaaa
Edward Lowasa. Elimu,Elimu,Elimu....Dogo ushafanya homwek? Kama tayari nenda ukanye ulale ili kesho uwahi shuleni.
Kamoooonn
Kuna ile single alimshirikisha TX Moshi hataree AiseeKuna wimbo ameimba na Ally Kiba, aisee ni nomaaaaaaaaaaaaaa
kama hukaiskia if am lucky bado hujamskiza deruloJASON DERULO๐
Get Ugly
Ridin Solo
Want to want me
Other Side
Stupid love๐๐๐
Talk Dirty
Try Me ft Jlo๐
Kiss the sky
Swalla.
Jason Derulo alikuwaga hatari Sana.....Siku za karibuni jamaa amepoa sana shida nini sijui..
Alitengeneza hits kweli kweli,...Wangapi tunamkubali Jason...
Hiyo Stupid Love๐๐๐๐
Naipata Mkuu...Video yake kama Mazombi flani hivi wanacheza sanakama hukaiskia if am lucky bado hujamskiza derulo
Kalia saaana,,Fundi huyuu alinikosha kwnye ile 'it girl'
Pande la mtu halaf saut ya kidemdem[emoji16]JASON DERULO[emoji119]
Get Ugly
Ridin Solo
Want to want me
Other Side
Stupid love[emoji119][emoji119][emoji119]
Talk Dirty
Try Me ft Jlo[emoji119]
Kiss the sky
Swalla.
Jason Derulo alikuwaga hatari Sana.....Siku za karibuni jamaa amepoa sana shida nini sijui..
Alitengeneza hits kweli kweli,...Wangapi tunamkubali Jason...
Hiyo Stupid Love[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Ntumie Voda ya buku mbili PMNgoja nikutumie Bando la buku10 uitume humu....
Alitisha knomaKuna ile single alimshirikisha TX Moshi hataree Aisee
sauti ya kidemdem alafu linamiliki pesa kibao pisi zinazojua kuoga na magari mengi tuPande la mtu halaf saut ya kidemdem[emoji16]
Ha ha haaaaa[emoji16].sauti ya kidemdem alafu linamiliki pesa kibao pisi zinazojua kuoga na magari mengi tu
Chris Brown kila mwaka anakuja na hitsongSwalla nilikuwaga napatia breakfast.
Ila nafikiri bado. Maana mara nyingi wasanii huwachukua miaka 2-3 kurudi na hitsong.
Breezy habari nyingineChris Brown kila mwaka anakuja na hitsong