Elections 2015 Jasusi Colonel Apson Mwang'onda atua Dodoma

...napata shida sana kuamini hii post, kwanza mleta mada siamini kama unauwezo wa kumpeleleza Apson, pili plan aliyoiandaa apson mwenyewe hawezi kuibadili just over night. Tatu Rostam hana uwezo wa kudrive interest za apson na kumanipulate fate yàke. hili haliwezekani hata siku moja. Mwisho kwa Mzee jasusi mwenye upeo kama apson siamini anaweza kutumika bala anaweza kutumia watu kuweka mtu wake. So hainiingii akilini hizi hoja nyepesi sana....
 
Kama kuna ushahidi mngeuweka, my take, Membe has many advantages over El, sio fisadi, anaweza kujieleza na kujenga hoja ana exposure etc,etc,etc

Membe ni Fisadi mkubwa kuliko wote tena ni mwizi mkubwa , ununuzi wa nyumba za balozi huko Nje zote kapiga 10% , lile fungu la pesa za wageni wa kimataifa anaiba sana hizo pesa, Pia mabilioni ya marehemu Gadafi kayaiba kisha akamteketeza balozi wa Libya , membe hafai hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi .
 
Timu membe wametumwa na membe watengeneze story ya Uongo ili wasikie majibu sasa nadhani boss wao kapata jawabu .
 

Habari mpya hii, weka na vielelezo ueleweke vizuri kama nawe sio timu fulan
 
Anautaka kwa gharama yeyote ile na alishaapa akiingia ikulu atajenga magereza mapya ili wabaya wake woote awafunge , membe ni mtu Hatari sana.

Kweli JK kaufanya uraisi uwe urahisi

Mpka hyu naye anajiona anafaa kuongoza nchi

Kwa lipi la maana aliloifanyia nchi mpka sasa
 
kuna sehemu mbili umejichanganya
1. umesema amemgeuka Lowasa baada ya kugundua kuwa siyo chaguo la watawala.
2.Ukasema tena ameondoka team Lowasa baada ya kutimuliwa na Rostam
Kauli zako hizi mbili zinaifanya hii hekaya yako ikose uhalali
 
Hii story imepikwa na kutengenezwa na Membe kwani ndiye mtu pekee anayemchukia Lowasa hakuna Mfano , yaani membe anatamani Lowasa afe hata Leo atapumua , maana anamwona Lowasa ni kikwazo kwake.
 

peleka umbea wako huko mdmu mmechanganyikiwa. ..mdimu at work kila siku unaleta mada za kumchafua lowasa apa toka lini ukamtakia mema lowasa. ..nanukuu "Hakuna wa kumzuia Edward lowassa" by Apson so wewe unaleta uharo wako apa unategemea tutakuamini
 
Kama namwona EL chupi ikijaa mavi baada ya majina matano kusomwa na lake lisisikike...

Kama naona ambulance ya General utavyokatisha pale round about chap kushuka makao makuu ya CCM..

Kama naona Private Jet itakavyoandaliwa haraka kumwahisha Mzee Ujerumani.. Kama nawaona Riziwani na Makonda wakiwa na Nape wakigongamwakigonga mvinyo huku wakicheka kwa husda teh teh CCM mwaka wenu huu
 
Kweli JK kaufanya uraisi uwe urahisi

Mpka hyu naye anajiona anafaa kuongoza nchi

Kwa lipi la maana aliloifanyia nchi mpka sasa

Membe ni janga la kitaifa mapesa ya marehemu Gadafi imemzuzua na kumdangaya kuwa ataingia ikulu kwa njia za fitna na kugharamia watu wamchafue Lowasa.
 
Membe ni janga la kitaifa mapesa ya marehemu Gadafi imemzuzua na kumdangaya kuwa ataingia ikulu kwa njia za fitna na kugharamia watu wamchafue Lowasa.

Laana ya Gadafi hi juu yake mtu huyu

Anamchafua ataweza?????

Lowasaa achafukiki et
 
hutaangaika sana..bora urudi ktk ile avata yako ya zamani upost mada za maana ....yan ss ni hatari....unajilegeza ujue mtoto wa kiume utazoea wewe ...
 
Kama kuna ushahidi mngeuweka, my take, Membe has many advantages over El, sio fisadi, anaweza kujieleza na kujenga hoja ana exposure etc,etc,etc

Aisee kumbe exposure ni moja ya vigezo vya kuchagua marais kwenye hii dunia iliyo Kama kijiji ,asante mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…