Jasusi Mbobezi, Mzee Membe kulikoni? Siku zinayoyoma hatumsikii leo tarehe 3.10.2020

Jasusi Mbobezi, Mzee Membe kulikoni? Siku zinayoyoma hatumsikii leo tarehe 3.10.2020

Waminepo

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2019
Posts
374
Reaction score
254
Watanzania tumesubiri kwa hamu sana kauli ya Zitto Kabwe kuhusu mgombea wao wa uraisi Bernard Camilius Membe, kulikoni?

Hebu tujuzane wanabodi! Au kaweka mpira kwapani mazima?
 
Watanzania tumesubiri kwa hamu sana kauli ya Zitto Kabwe kuhusu mgombea wao wa uraisi Bernard Camilius Membe, kulikoni ? Hebu tujuzane wanabodi ! Au kaweka mpira kwapani mazima?
Modes edit : nuke-ninuke
 
Hata mm nimetega masikio yangu lon naona kimya. Msajili amepiga mkwara kuwa anaweza kuvifuta chadema na ACT endapo vingethubutu.
 
Mtoa hoja shuka chini huku na smell a coffee,kwanza nani kakupa usemaji wa watanzania!
 
Back
Top Bottom