Waminepo JF-Expert Member Joined Feb 3, 2019 Posts 374 Reaction score 254 Oct 3, 2020 #1 Watanzania tumesubiri kwa hamu sana kauli ya Zitto Kabwe kuhusu mgombea wao wa uraisi Bernard Camilius Membe, kulikoni? Hebu tujuzane wanabodi! Au kaweka mpira kwapani mazima?
Watanzania tumesubiri kwa hamu sana kauli ya Zitto Kabwe kuhusu mgombea wao wa uraisi Bernard Camilius Membe, kulikoni? Hebu tujuzane wanabodi! Au kaweka mpira kwapani mazima?
Waminepo JF-Expert Member Joined Feb 3, 2019 Posts 374 Reaction score 254 Oct 3, 2020 Thread starter #2 Waminepo said: Watanzania tumesubiri kwa hamu sana kauli ya Zitto Kabwe kuhusu mgombea wao wa uraisi Bernard Camilius Membe, kulikoni ? Hebu tujuzane wanabodi ! Au kaweka mpira kwapani mazima? Click to expand... Modes edit : nuke-ninuke
Waminepo said: Watanzania tumesubiri kwa hamu sana kauli ya Zitto Kabwe kuhusu mgombea wao wa uraisi Bernard Camilius Membe, kulikoni ? Hebu tujuzane wanabodi ! Au kaweka mpira kwapani mazima? Click to expand... Modes edit : nuke-ninuke
S Sexless JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 23,683 Reaction score 55,898 Oct 3, 2020 #3 Hata mm nimetega masikio yangu lon naona kimya. Msajili amepiga mkwara kuwa anaweza kuvifuta chadema na ACT endapo vingethubutu.
Hata mm nimetega masikio yangu lon naona kimya. Msajili amepiga mkwara kuwa anaweza kuvifuta chadema na ACT endapo vingethubutu.
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 Oct 3, 2020 #4 Lissu kawatuliza wote na jiwe kiganjani. ametumwa akakutana na wahuni
wambagusta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2014 Posts 2,825 Reaction score 2,292 Oct 3, 2020 #5 Upepo umebadirika
N Nkanini JF-Expert Member Joined Jun 6, 2017 Posts 7,157 Reaction score 17,390 Oct 3, 2020 #6 Mtoa hoja shuka chini huku na smell a coffee,kwanza nani kakupa usemaji wa watanzania!