Jasusi Yeriko Nyerere ayataka Mashirika ya Kijasusi ya FSB, CIA na M16 kutafiti Kwanini Ndege nyingi zinaanguka Mwisho wa mwaka huu

Wenye mamlaka ya kuchunguza ajali za ndege ni mamlaka za usalama wa anga za nchi husika mfano marekani ni NTSB hao ndio wanachunguza sababu za ndege kuanguka kama imesababishwa na uzembe, mechanical failures na kama kuna sababu za kihalifu kama bomu ndipo mamlaka za uchunguzi za maswala ya jinai zinahusishwa.

FSB, CIA, MI6 hizo ni mamlaka za kinteligensia sidhani kama zimahusika kwenye uchunguzi labda kutambua hatari ya kiusalama juu ya hizo ndege kabla ya kupata hayo majanga.

Jasusi ajikite kwenye kumnadi mbowe.

Nimejifunza kutoka kwenye documentaries za AIR CRASH INVESTIGATIONS pale mjini youtube hapo utaelewa sababu nyingi zinazopelekea ndege kuanguka na resolution zake namna ya kuzia hizo ajali.
 
Umeeleweka sana
 
You nailed it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…