Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 4,805
- 17,850
Kutana na mwamba wa kuitwa 'The Madman' ambaye ameshinda uchaguzi wa urais wa Argentina.
Huyu mwamba ni mfuasi wa mrengo mkali wa kulia ambaye anamu-inspire sana "Madman" mwenzake Donald Trump.
Ni mfuasi mkubwa wa Israel na ameahidi mageuzi makubwa sana nchini Argentina, sasa wamemkabidhi kijiti ngoja tuone kama atatoboa ama ataishia msimu mmoja kama Trump.
Katika moja ya mikutano yake aliwahi kutumia Chainsaw kama ishara ya kufuta baadhi ya wizara ili tu kubana matumizi. Wizara alizoahidi kuzifuta ni Wizara ya Michezo na Utalii, Wizara ya Utamaduni na Sanaa, Wizara ya Mazingira na Maendeleo Endelevu, Wizara ya Wanawake na Jinsia.
Rais wa zamani wa Marekani Trump amempongeza Milei haraka, akisema ataifanya Argentina kuwa Kubwa Tena (MAGA).