Jay Dee wacha nikwambie ukweli dada angu. Wimbo wako mpya " mambo matano" sio mzuri

Jay Dee wacha nikwambie ukweli dada angu. Wimbo wako mpya " mambo matano" sio mzuri

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Achana na watu wanao komenti kwa kukuogopa kwenye page yako huko instagram. Ukweli ni kwamba wimbo wako sio mzuri na hauendani na nyakati zilizopo.

Nakushauri ufanye tena research yako vizuri. Kisha nenda upya studio uje na wimbo mpya.

Ni hayo tu dadake
 
Hivi unadhani wimbo ukiwa mbaya kwako Ina maana utakuwa mbaya kwa kila mtu?

Huo wimbo wapo watu wengi tu walioupokea vizuri..
 
Back
Top Bottom