Achana na watu wanao komenti kwa kukuogopa kwenye page yako huko instagram. Ukweli ni kwamba wimbo wako sio mzuri na hauendani na nyakati zilizopo.
Nakushauri ufanye tena research yako vizuri. Kisha nenda upya studio uje na wimbo mpya.
Ni hayo tu dadake